Maisha baada ya kifo? Au mtu akifa inakuwaje?

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
34
Reaction score
75
Ukiacha masuala ya imani juu ya maisha baada ya kifo; kuna nadharia (theory) inayoelezea maisha baada ya kifo? Au mtu akifa inakuwaje?
 
NI kama mpumbavu tu, hajijui kama ni mpumbavu. Ni kama ukifa hujijui kama umekufa
 
Ukiacha masuala ya imani juu ya maisha baada ya kifo; kuna nadharia (theory) inayoelezea maisha baada ya kifo? Au mtu akifa inakuwaje?
Kula maisha ukiwa hai, utakapokufa ndiyo mwisho wako. Kitakachoendela ni wewe kuliwa na minyoo, funza, sisimizi hadi mifupa.

Hakuna cha nadharia wala imani yeyote. Maximise your happiness now
 
Ukifa ndio mwisho wa kila kitu hakuna chochote kinachoendelea, yaani ni sawa na kusema haupo popote.
 
Ukiacha masuala ya imani juu ya maisha baada ya kifo; kuna nadharia (theory) inayoelezea maisha baada ya kifo? Au mtu akifa inakuwaje?
Huwezi kueleza maisha baada ya kifo bila kuhusisha imani kwa sababu hakuna aliyeenda huko "physically" halafu akarudi na ushuhuda wa picha au video. Wengi wanatoa shuhuda za ndoto au imagination tu walizopitia kuhusu kifo, kitu ambacho kinabaki kuwa imani na haviwezi kuthibitika kisayansi.Nadhani Kinyume na maelezo ya kiimani kifo kitabaki kuwa "Mystery".
 
Back
Top Bottom