Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Ongezea mawakala walioondolewa vituoni kwa nguvu na wenye mamlaka bila kusahau makada wa chama kile waliopora masanduku ya kura na kutoweka nayo vituoni pasi kukamatwa!!! Achilia mbali "zile kura za maruhani!"Ni kweli lakini je baadhi ya mawakala wanaodai kufanyiwa fujo je hata kama vyama vyao vimetimiza wajibu inakuwaje.
Wakuu wa nchi siye tunaochukuwa masomo ya ukubwani kwa njia ya mtandao tuna siku ya pili leo tunashindwa kupata masomo kutoka kwa walimu wetu. Chonde chonde msituharibie elimu yetu ya lala salamaš
Ila Umbea na Unafki unauweza kuufanya ukapata access vzr kbs... Ila ya Muhimu hayo ya Elimu huwez kuyafanya?Wakuu wa nchi siye tunaochukuwa masomo ya ukubwani kwa njia ya mtandao tuna siku ya pili leo tunashindwa kupata masomo kutoka kwa walimu wetu. Chonde chonde msituharibie elimu yetu ya lala salama[emoji24]
Lissu hana mkakati. Endelea na shughuli zako tu. Maisha lazima yaendelee.Mambo hayajaisha. Tunamsubiri kamanda lissu atuamuru kuingia barabarani tukapambane japo wengi hatujui tunaingia barabarani kufanya nini na kwa sababu gani
Acheni fujo kila mtu ajikite kujiletea maendeleo mwenyew wazaz wanakutegemea ww mm nachukua zangu faru John nalala home naimima taratibu kabisaMambo hayajaisha. Tunamsubiri kamanda lissu atuamuru kuingia barabarani tukapambane japo wengi hatujui tunaingia barabarani kufanya nini na kwa sababu gani
Wewe kibibi kizee bado unasoma?? Kwa taarifa yako tu Zanzibar Rais ni Mwinyi na Zitto amepigwa chini Kigoma.Wakuu wa nchi siye tunaochukuwa masomo ya ukubwani kwa njia ya mtandao tuna siku ya pili leo tunashindwa kupata masomo kutoka kwa walimu wetu. Chonde chonde msituharibie elimu yetu ya lala salamaš