Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Mkuu, talk to your wife privately so you can understand why she cheated and plan what you want to do next. Couples therapy can help. Allow yourself to feel the full range of emotions and take your time to decide what you're going to do next rather than making a rash decision you might regret.Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.
Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua kunisaliti, na pia nahisi atanisaliti tena kwa hiyo uaminifu niliokua nae umepungua kwa kiasi kikubwa.
Asante kwa ushauri wako kiongozi.Mkuu, talk to your wife privately so you can understand why she cheated and plan what you want to do next. Couples therapy can help. Allow yourself to feel the full range of emotions and take your time to decide what you're going to do next rather than making a rash decision you might regret.
Licha ya kua mtasameheana ila kutakua na hali flan ya kutokujiamini hasa kwa alietendewa hivo ni wewe mwenyewe kuamua. Kuishi maisha ya mashaka au kwenda kwingineHivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.
Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua kunisaliti, na pia nahisi atanisaliti tena kwa hiyo uaminifu niliokua nae umepungua kwa kiasi kikubwa.
Hii hali ndo inanisumbua haswa, mana nawaza anaweza kurudia tena.Licha ya kua mtasameheana ila kutakua na hali flan ya kutokujiamini hasa kwa alietendewa hivo ni wewe mwenyewe kuamua. Kuishi maisha ya mashaka au kwenda kwingine
Mwanamke kupigwapigwa miti haijakaa sawa, ila kwa sababu baadhi yao wanapenda hela basi miti lazima wapigwe na hapo ndo shida inapoanziaAki cheat ukamrudia subiria bomu lingine
The only justifiable way ajue wewe ume cheat tena kwa concrete evidence akizingua apo unaeza kusema hasira still wengi wetu hatutasamehe ila kidooogo ina make sense alifanya revenge labda sio malaya, japo mwanamke aliefundwa anajua mwili wake ni holy temple hawezi kufunulia mtu mapaja kiholela awe fuko la shahawa.
Mkuu unadhani mwanamke akikusaliti anaweza kukupenda kama alivyokua anakupenda hata kama ana-regret kwa alichokifanya. Mwanamke mpaka kuamua kumvulia chupi mtu mwingine naamini anakua hakupendi ndo mana kaamua kusaliti na anakua amejipanga kuwa hata ikijulikana liwalo na liwe.Kusamehe sio udhaifu mkuu, sometimes inatokea tu mwanamke anafanya ujinga na mwisho wa siku ana regret makosa yake
Hakikisha amejutia makosa yake na umejiridhisha ni kweli amejutia
Nje ya hapo ukilazimisha uwenae na wakati unaona kabisa mwanamke hana hata habari na ndo kwanza she doesn't give a fck na anaona yupo sahihi kwa alichokifanya, Boss! Unatakiwa umuache haraka sana tena siku hiyo hiyo
Sometimes tunapenda kweli but kuachana pia ni mwanzo wa safari nyengine na sio mwisho, we met for a reason and we'll break up for the same reason
Let things go on their own flow, don't push just let it be
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Angalia huyo mwanamke ana msaada gani kwako na amechangia kiasi gani kwenye mafanikio yako, Kupata mwanamke mwenye akili now days ni ngumu sana asee ...Mkuu unadhani mwanamke akikusaliti anaweza kukupenda kama alivyokua anakupenda hata kama ana-regret kwa alichokifanya. Mwanamke mpaka kuamua kumvulia chupi mtu mwingine naamini anakua hakupendi ndo mana kaamua kusaliti na anakua amejipanga kuwa hata ikijulikana liwalo na liwe.
Usije kusamehe mkuu, tupa io taka taka.Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea?
Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.
Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua kunisaliti, na pia nahisi atanisaliti tena kwa hiyo uaminifu niliokua nae umepungua kwa kiasi kikubwa.
Jamani kumbukeni mwanamke akicheat anamwagiwa ndani, mnawezaje kuwasamehe? Mtu katolewa chupi, jamaa kamuinamisha, kavuta pumzi, kamsukumia uboo ndani, demu anajamba na kulia, bado unamsamehe? Manina
😂😂😂😂Dah dadeq sitosamehe kamwe.Jamani kumbukeni mwanamke akicheat anamwagiwa ndani, mnawezaje kuwasamehe? Mtu katolewa chupi, jamaa kamuinamisha, kavuta pumzi, kamsukumia uboo ndani, demu anajamba na kulia, bado unamsamehe? Manina