Maisha baada ya usaliti

Maisha baada ya usaliti

Mkuu, talk to your wife privately so you can understand why she cheated and plan what you want to do next. Couples therapy can help. Allow yourself to feel the full range of emotions and take your time to decide what you're going to do next rather than making a rash decision you might regret.
Aongee na msaliti?
Acheni kujazana ujinga
 
Angalia huyo mwanamke ana msaada gani kwako na amechangia kiasi gani kwenye mafanikio yako, Kupata mwanamke mwenye akili now days ni ngumu sana asee ...

Kama ame repent na umehakikisha ni kweli amejutia alichofanya na sio ku pretend kujutia No! Hivyo vyote lazima ujue tu boss kama she's real or not

Kuchepuka kwa wanawake sometimes inatokana na sisi wanaume

It doesn't matter amechepuka kwa makusudi au bahati mbaya bali unachotakiwa kuangalia ni rudi juu soma tena paragraph ya kwanza

Kusamehe sio udhaifu mkuu but ikitokea amerudia tena wewe unapata hasara gani kumuacha

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Acha kumjaza mwenzako ujinga
HAKUNA MSAMAHA KWA MWANAMKE MSALIT
 
ONEITIS.
 
Kusamehe sio udhaifu mkuu, sometimes inatokea tu mwanamke anafanya ujinga na mwisho wa siku ana regret makosa yake

Hakikisha amejutia makosa yake na umejiridhisha ni kweli amejutia

Nje ya hapo ukilazimisha uwenae na wakati unaona kabisa mwanamke hana hata habari na ndo kwanza she doesn't give a fck na anaona yupo sahihi kwa alichokifanya, Boss! Unatakiwa umuache haraka sana tena siku hiyo hiyo

Sometimes tunapenda kweli but kuachana pia ni mwanzo wa safari nyengine na sio mwisho, we met for a reason and we'll break up for the same reason

Let things go on their own flow, don't push just let it be

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Kusamehe si ujinga bro hususani anayemsamehe mwanamke msaliti bali ni upumbavu
 
Angalia huyo mwanamke ana msaada gani kwako na amechangia kiasi gani kwenye mafanikio yako, Kupata mwanamke mwenye akili now days ni ngumu sana asee ...

Kama ame repent na umehakikisha ni kweli amejutia alichofanya na sio ku pretend kujutia No! Hivyo vyote lazima ujue tu boss kama she's real or not

Kuchepuka kwa wanawake sometimes inatokana na sisi wanaume

It doesn't matter amechepuka kwa makusudi au bahati mbaya bali unachotakiwa kuangalia ni rudi juu soma tena paragraph ya kwanza

Kusamehe sio udhaifu mkuu but ikitokea amerudia tena wewe unapata hasara gani kumuacha

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Asante ushauri wako mkuu. Kimsingi ni mwanamke mwenye akili na ambae anaweza kuachiwa familia akalea. Lakini sasa hicho sio kigezo cha mtu kufanya ujinga, na kusamehe nimemsamehe ila haindoki kichwani na uaminifu wangu kwake umepungua sana.
 
Kaka piga na chini hakuna rangi utaacha kuja kuona maishan mwako. Msaliti wa kike hakuna msamaha hao viumbe wanaendeshwa na hisia hayo maumivu yaskie mpk leo sisahau alichonifanya yule kiumbe niliona mpk video wakiwa kitandan mwanamke niliempenda kuliko mtu yoyote but nilimove on and i will be okay.
Ulipatwa na nini mkuu, tupe uzoefu wako
 
Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea?

Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.

Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua kunisaliti, na pia nahisi atanisaliti tena kwa hiyo uaminifu niliokua nae umepungua kwa kiasi kikubwa.
Kama umesamehe haya maandiko yangi kwa umakini ATARUDIA TENA ....KUMBUKA HIII KAULI NIMEANDIKA ATARUDIA TENA
 
Mimi binafsi hua nashindwa, tena kwenye maisha ya uchumba/Mpenzi tu wa kawaida.

Hapa kuna manzi tuli date for 10months. Ukatokea usaliti kwa upande wake, nikajua now we are like strangers
 
pole kaka ,mim two year ila juzi kimenikuta kitu kizito sana japo siumii sana kwasabab nilikuwa nimeshaanza kuona mauza uza kwahio nilizoea ile hali, kuna siku nitashusha nyuz zangu humu aisew hawa watu 🙌🙌
 
Hizi nyakati sio zile mkuu,mambo ni mengi sana..ni kuomba Mungu tu aisee,lakini laiti tungejua yapitayo moyoni mwa hawa viumbe,tusingeingia kwenye mahusiano..
 
pole kaka ,mim two year ila juzi kimenikuta kitu kizito sana japo siumii sana kwasabab nilikuwa nimeshaanza kuona mauza uza kwahio nilizoea ile hali, kuna siku nitashusha nyuz zangu humu aisew hawa watu [emoji119][emoji119]
Shusha uzi mkuu. Na mm siku nikitulia ntashusha uzi kidogo watu wa enjoy
 
Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea?

Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.

Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua kunisaliti, na pia nahisi atanisaliti tena kwa hiyo uaminifu niliokua nae umepungua kwa kiasi kikubwa.
Unamsamehe na kumwacha awape watu wengine stress, kawaida mwanamke msaliti akiachwa ndiyo mwisho wake anabakia kuliwa tu mpaka anazeeka.
 
Ninapoanzisha mahusiano, kwanza huwa siamini kuwa hana mtu wake, pili najua wazi kuwa haiwezekani kabisa mtu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mmoja tu, labda awe mgonjwa wa akili,..... wapenzi wangu wengi nimekuwa nikijua kabisa kuwa wana mahusiano na watu wengine, lakini sijawahi waambia lolote japo nina ushahidi mpaka wa picha....na nimekuwa nikifanya hivi toka nikiwa na miaka ishirini....
 
Back
Top Bottom