Maisha baada ya usaliti

Aongee na msaliti?
Acheni kujazana ujinga
 
Acha kumjaza mwenzako ujinga
HAKUNA MSAMAHA KWA MWANAMKE MSALIT
 
ONEITIS.
 
Kusamehe si ujinga bro hususani anayemsamehe mwanamke msaliti bali ni upumbavu
 
Asante ushauri wako mkuu. Kimsingi ni mwanamke mwenye akili na ambae anaweza kuachiwa familia akalea. Lakini sasa hicho sio kigezo cha mtu kufanya ujinga, na kusamehe nimemsamehe ila haindoki kichwani na uaminifu wangu kwake umepungua sana.
 
Ulipatwa na nini mkuu, tupe uzoefu wako
 
Kama umesamehe haya maandiko yangi kwa umakini ATARUDIA TENA ....KUMBUKA HIII KAULI NIMEANDIKA ATARUDIA TENA
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi binafsi hua nashindwa, tena kwenye maisha ya uchumba/Mpenzi tu wa kawaida.

Hapa kuna manzi tuli date for 10months. Ukatokea usaliti kwa upande wake, nikajua now we are like strangers
 
Mimi binafsi hua nashindwa, tena kwenye maisha ya uchumba/Mpenzi tu wa kawaida.

Hapa kuna manzi tuli date for 10months. Ukatokea usaliti kwa upande wake, nikajua now we are like strangers
pole kaka ,mim two year ila juzi kimenikuta kitu kizito sana japo siumii sana kwasabab nilikuwa nimeshaanza kuona mauza uza kwahio nilizoea ile hali, kuna siku nitashusha nyuz zangu humu aisew hawa watu πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hizi nyakati sio zile mkuu,mambo ni mengi sana..ni kuomba Mungu tu aisee,lakini laiti tungejua yapitayo moyoni mwa hawa viumbe,tusingeingia kwenye mahusiano..
 
pole kaka ,mim two year ila juzi kimenikuta kitu kizito sana japo siumii sana kwasabab nilikuwa nimeshaanza kuona mauza uza kwahio nilizoea ile hali, kuna siku nitashusha nyuz zangu humu aisew hawa watu [emoji119][emoji119]
Shusha uzi mkuu. Na mm siku nikitulia ntashusha uzi kidogo watu wa enjoy
 
Unamsamehe na kumwacha awape watu wengine stress, kawaida mwanamke msaliti akiachwa ndiyo mwisho wake anabakia kuliwa tu mpaka anazeeka.
 
Ninapoanzisha mahusiano, kwanza huwa siamini kuwa hana mtu wake, pili najua wazi kuwa haiwezekani kabisa mtu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mmoja tu, labda awe mgonjwa wa akili,..... wapenzi wangu wengi nimekuwa nikijua kabisa kuwa wana mahusiano na watu wengine, lakini sijawahi waambia lolote japo nina ushahidi mpaka wa picha....na nimekuwa nikifanya hivi toka nikiwa na miaka ishirini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…