Maisha bila Facebook, watsapp, instagram, Tik tok inawezekana usiruhusu simu ikutawale bali itawale simu yako

Maisha bila Facebook, watsapp, instagram, Tik tok inawezekana usiruhusu simu ikutawale bali itawale simu yako

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,315
Reaction score
13,269
Maisha bila mitandao ya kijamii inawezekana huu ni mwaka wa nne sasa no fb, no instar no twitter

Kilichobaki ni Jf tu

Muda upo wa kutosha kusoma vitabu, kufanya kazi, kutafakari na kukaa na familia

Nimesoma votabu zaidi ya 400

Sihitaji kuweka bamdo kila mara labda kama nataka kupakua kitabu

Concentration imeongezeka

Wakuu maisha bila mitandao ya kijamii tajwa hapo juu inawezekana
 
Unataka kusema nini? Watu wanatengeneza fedha kupitia huko.. Halafu dunia ya leo sio ya kufungia mitandao huo ni ushamba
 
Ni sawa unasema kuacha kutumia umeme na kurudi kutumia mishumaa usiku
 
Ndo maisha waliyozoea watu walio wengi btw ni sehemu ya kupata kipato kwa watu walio wengi.
 
Unataka kusema nini? Watu wanatengeneza fedha kupitia huko.. Halafu dunia ya leo sio ya kufungia mitandao huo ni ushamba
Dont give a f*ck kasome hiki kitabu
 

Attachments

Lakini haihalalishi madikteta kufungia pale tu wanapojiskia bila kujali maslahi mapana ya wanufaikaji wa mitandao hiyo
 
To prove what exactly?

What next, maisha bila magari?

Kusoma kwako vitabu 400 kumekufanya kuwa bora kuliko wengine? How?

Vitabu 400 ndani ya muda gani? Kama ni mwaka mmoja au miwili husomi bali unapitia tu kujifurahisha na kujipa bichwa. There's just so much the brain can absorb at a time.

Kuna watu wanaendesha maisha yao kupitia hiyo mitandao na wengine ni starehe zao kama wewe ulivyo na preference zako. To each their own.
 
Yeah, happiness is simple...Maisha ni vipaumbele na machaguo, chaguo Fulani likufaa basi pita nalo.
 
Back
Top Bottom