Kusoma kwako vitabu 400 kumekufanya kuwa bora kuliko wengine? How?
Vitabu 400 ndani ya muda gani? Kama ni mwaka mmoja au miwili husomi bali unapitia tu kujifurahisha na kujipa bichwa. There's just so much the brain can absorb at a time.
Kuna watu wanaendesha maisha yao kupitia hiyo mitandao na wengine ni starehe zao kama wewe ulivyo na preference zako. To each their own.