Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Ukija kuzeeka utakuwa lizee moja jinga sana! Nakumbuka babu yake mama alikuwa hana dini yeye alikuwa tu wa imani za kimila. Haki ya nani nyumbani kwake kulikuwa kama jehanamu. Simulizi tulizozikuta wanafamilia walikuwa wanapata suruba siyo kidogo!
 
Na katika dunia hii hata kama huna dini lakini kuna mungu unaemwabudu pasipo ww kujua ndugu (Mungu wa kweli akutokee ili umwamini)
 
Ulimwengu wa ROHO upo 100%

Is kidding to believe that ur a body creature and not a spiritual creature.


God exist
Believing God exists means you also believe in the afterlife: consciousness and memories ought to vanish with physical death, there's scientific proof that our brains stop working after death; so, how does a soul keep hold of all our memories after death?
 



Mkuu Mimi nilikuwa Kama wewe Ila tukibishana tutakesha Endelea kuamini katika njia yako uliochagua.
 
Sehemu hizo ulizotaja zipo kwenye ulimwengu huu huu unao onekana.

Hakuna ulimwengu mwingine zaidi ya huu.
Mkuu kwani vimelea-bacteria wa typhoid wanakuwaga nje ya mwili wako unapoumwa?

Lakini inahitaji vipimo kuthibitisha.

Unajua Hawa watu wasioamini MUNGU yupo, ndio wanaharibu mambo Kwa kusema kwani watu wakiwa na maadili mabaya kuna tatizo Gani, waache watu waishi watakavyo.
 
Kuamini ni tofauti na kujua.

Unahakikishaje mistari hiyo ipo kweli?
Je unajua ipo kweli au unapingana na hayo?
Na unajuaje kama hayapo?

Ili uweze kupinga uwepo wa kitu unatakiwa uwe na ushahidi wa kuthibitisha sasa tupe ushahidi unaothibitisha MUNGU hayupo

Tofauti na hapo ni unaamini hayupo sio kwamba unajua hayupo
Nb; ushahidi uwe researchable
 
Mwelezee mungu huyo nje ya vitabu vyako vya dini,utashangaa kugundua hakuna mungu nje ya vitabu vyenu hivyo mlivyoandikiwa na wajanja
Nyie mnafuatilia vitabu vya earthiest mnadanganyana tu
Unajua kwamba wanasayansi na wanafalsafa wengi kama akina Newtown walikiri uwepo wa MUNGU?
 
Enhe hilo umelijuaje kwamba hakuna ulimwengu zaidi ya huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…