Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Designer wa huu ulimwengu yupo kwakua ukisema hayupo je imekuaje mambo ya ulimwengu yakawa perfect kiasi hicho,
 
Hata watoto wachanga wasio na hatia yeyote ile wanafikwa na mauti na kufa.

Maelfu ya watoto wachanga wasio na hatia yeyote ile wanakufa kwa vita, njaa, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani.

Na huyo Mungu hajawahi kutoa msaada wowote ule kusaidia na kunusuru vifo hivi..!!!

Huyo Mungu hana msaada wowote ule wa kufanya kiumbe fulani kisife au kisifikwe na mauti.

Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
 
Designer wa huu ulimwengu yupo kwakua ukisema hayupo je imekuaje mambo ya ulimwengu yakawa perfect kiasi hicho,
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na designer wake,

Je Designer wa huyo Designer wa ulimwengu ni nani?
 
Sio sababu ya ku prove kama mungu hayupo eti kisa watoto wanakufa bila hatia , au ulikua unataka watu wasiwe wanakufa , hao watoto wamekufa Kwa kukosa mazingira rafiki ya ku survive , jiulize wewe mbona mpk umekua mkubwa hujafa ???
 
Yani mpangilio wa mnyama sijui moyo sijui mdomo sijui pua sijui macho unahisi hamna designer wa hivyo vitu
Kwani kuna ulazima kwamba vitu hivi vimepangiliwa na designer fulani?

Kwani vitu hivi haviwezi kujipangilia vyenyewe?

Huyo Designer yeye aliwezaje kujipangilia mwenyewe?

Au alitokea tu ghafla bin vuuh!
from no where??
 
Sio sababu ya ku prove kama mungu hayupo eti kisa watoto wanakufa bila hatia , au ulikua unataka watu wasiwe wanakufa , hao watoto wamekufa Kwa kukosa mazingira rafiki ya ku survive , jiulize wewe mbona mpk umekua mkubwa hujafa ???
Hao watoto kwani walikuwa hawataki kuishi?

Mimi kufa lazima nitakufa, na kila mtu lazima atakufa.

Kwa hiyo uzima sio sababu ya kusema eti kuna Mungu.

Ni suala la muda tu, mauti(kifo) itamfikia kila kiumbe.
 
Yeah 💯
Ain't 💯 bruh,it's all about freedom unachoamini wewe hakiniumizi ninachokiamini mimi hakikuumizi vibaya kama tutalazimishana!

Siyo kwamba nimekubaliana na mawazo yako ila nimeepusha tu purukushani na kuchoshana akili so tutabaki na mawazo yetu yale yale kichwani wewe ukiamini Mungu hayupo huku mimi nikiamini yupo alimradi hatujashikana mashati.
 
Uhakika ambao tunao ni kuwa sisi hatujajiumba ni kweli au sio kweli jibu ???
Sio kweli.

Sisi binadamu na viumbe wote tumejiumba wenyewe kwa kuzaana na kuzaliana.

Sasa wewe onyesha na uthibitishe ni wakati gani huyo Mungu alituumba?
 
Mimi siamini kwamba Mungu hayupo.

Mimi najua kwa hakika kabisa huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Sasa wewe unayedai na kusema Mungu huyo yupo, ndio umthibitishe yupoje tupate kumjua yupo.
 
kwahyo nani alieizaa hii Dunia tunayoishi ?
Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Hakuna aliyeumba Dunia.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo Muumbaji wa kila kitu, Lazima awe ameumbwa.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kimeumbwa, Hata dunia haihitaji muumbaji wake.
 
Namba 7 imenichekesha😂😂 ingawa mimi ni wale waliosoma wakisonya
 
Kwan Kuna ulimwengu mwingine Tena zaidi ya huu tunaoujua ,kama hamna basi huyu alieumba huu ulimwengu ndio mwanzilishi wa Kila kitu kilichomo...Kwa Sasa tunachojua ni kuwa huyu mungu ndio controller wa Kila kitu kama na yeye ana controller wake basi hatujapewa huo upeo wa kueza kumtambua...haizuii kuendelea kusema huyu mungu tunaemzungumzia saiv kuwa hayupo.
 
Hao watoto kwani walikuwa hawataki kuishi?

Mimi kufa lazima nitakufa, na kila mtu lazima atakufa.

Kwa hiyo uzima sio sababu ya kusema eti kuna Mungu.

Ni suala la muda tu, mauti(kifo) itamfikia kila kiumbe.
Hata wewe kipindi ulivyokua mdogo kama ungekua umeishi mazingira ya hao watoto waliokufa na wewe pia ungekufa tu .kifo ni matokeo ya kitu Fulani. Kufa kupo tu Hilo tuna uhakika nalo,
 
Wewe ndio umekurupuka
ku comment pasipo kudadavua kilicho andikwa na mleta mada.
Wew ndo huja dadavua unapata raha gani baada ya Kujua hakuna Mungu, na kuishi maisha yako , ulitaka kutuelekeza kitu ila umeshindwa hatujakuelewa maana hujaweka hoja ya msingi , Hatudharau hoja za mtu ila tuna challange Tunaangalia yapi yamsingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…