Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Leta research uliyo ifanya inayo thibitisha uwepo wa huyo Mungu.No research no right to talk
So kama huwezi kuprove absence ya MUNGU huwezi kuniambia hayupo njoo na ushahidi kwamba hayupo nikubaliane na ww
Dhana nzima ya Mungu imetokana na nyie waamini Mungu na ninyi ndio mnaodai Mungu huyo yupo.
Sisi tunapinga madai yenu ya kusema Mungu huyo yupo.
Sasa thibitisheni madai yenu ya uwepo wa Mungu ni ukweli.
Na Uni prove wrong kwamba Mungu huyo hayupo kwa kunithibitishia yupo.
Isaac Newton kuamini Mungu yupo si uthibitisho wa uwepo wa Mungu huyo.Kama unataka kujua uwepo wa MUNGU fuatilia tafiti za Isak Newtown utaelewa vzr
Ni imani na mtazamo wake tu, usio na uthibitisho wowote ule wa kuwepo Mungu huyo.