Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Usinipotezee muda wangu kwa ujinga wako na maswali yako ya kipumbavu.Ushirikina ni nini?
Unathibitisha vipi ushirikina upo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinipotezee muda wangu kwa ujinga wako na maswali yako ya kipumbavu.Ushirikina ni nini?
Unathibitisha vipi ushirikina upo?
Unafahamu logical fallacy inaitwa non sequitur ni nini?Mimi nikijiangalia tu naprove kwamba Kuna mtaalam alitutengeneza asee sisi sio wa bahati mbaya. We jitathmini tu jinsi ulivyoumbwa alaf jiulize hakuna designer
Ukishasema hutambui uwepo wa Mungu mimi na wewe hatuna tena cha kujadili.Hofu ina tengeneza watu wanafiki kwenye jamii. MTU anafanya uovu akiwa amejicha.
Binadamu hatakiwi kuishi Kwa hofu bali anatakiwe apewe elimu na maarifa sahihi kuusiana na mazingira anayoishi na jinsi atakavyoweza kukabiliana nazo.
Mtoto utakapo mjengea hofu na badala ya kumpa ujasiri wa maarifa sahihi, huyo mtoto atakuwa ni mtumwa Kwa wengine
Mzee wa tafiti upo? 😹😹😹Mungu ni mwema siku zote, yeye ni Mungu wa wote na habagui dini wala kabila.
Upo? 😹😹😹
Mwambie akupe nauli kwanza 😹😹😹Sehemu hizo ulizotaja zipo kwenye ulimwengu huu huu unao onekana.
Hakuna ulimwengu mwingine zaidi ya huu.
Suala si kutambua au kutotambua uwepo wa Mungu.Ukishasema hutambui uwepo wa Mungu mimi na wewe hatuna tena cha kujadili.
Tunaomtambuwa Mungu uwepo wake kama si yeye tungeshazikwa zamani kwa vita tulivyopigwa lakini ni Mungu tu ndiye ameendelea kutupigania.
In principal kama huamini Mungu yupo mimi na wewe hatuna cha kujadili na Mungu huwa hapiganiwi na binadamu yeye ndio anatupigania.
Sema huna majibu ya kujibu maswali yangu.Usinipotezee muda wangu kwa ujinga wako na maswali yako ya kipumbavu.
Ubao wako upo tayari, nikuletee uanze kuamasha vigagura? 😂Mzee wa tafiti upo? 😹😹😹
Safari hii hujaviita vile vibwengo vya kiswahili??
Uoga huo 😹😹😹Ni Bora ukaamini Mungu yupo kuliko kutokuamini halafu baadae ukamkuta utapata hasara.
Nisameheni 😎😹😹😹 Uchinjwe xmas
😹😹😹 AloooKujibu swali umeshindwa. Unaleta nukuu za mababu wa kizungu zilizotafsiriwa kwa lugha yako mtumwa wao ili uelewe mabwana zako wanakutaka uamini nini, ufanye nini.
😹😹😹 IgweeeeeeeeUbao wako upo tayari, nikuletee uanze kuamasha vigagura? 😂
Unafahamu logical fallacy inaitwa non sequiWewe umeisoma hio non sequitur tueleze Ina prove vipi mungu hayupo. Mungu yupo Kwa sababu wewe kiranga ujue kuwa hakuna ulimwengu mwingine unaoujua zaidi ya huu ,Unafahamu logical fallacy inaitwa non sequitur ni nini?
Huu ulimwengu umeumbwa Kwa design ambayo hauwezi ukasema tu ilikua by chance ikawa ivyo tu
Kila kitu kimekaa mahala pake.
Binafsi sipendi kubishana kisa dini hapana sipendi kabisa kwa sababu maandiko yapo katika biblia takatifu na Quran tukufu maandiko yanathibitisha kuwepo katika zama mbali mbali hasa watu kukataa kuhusu mungu haupo peke yako wapo maelfu ya watu hawaamini katika mola mlezi.Sema huna majibu ya kujibu maswali yangu.
Huna hoja, You are just throwing tantrums.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.
😹😹😹 sina uhakika ila huyo aliyekudesign yeye nani alimdesign??Mimi nikijiangalia tu naprove kwamba Kuna mtaalam alitutengeneza asee sisi sio wa bahati mbaya. We jitathmini tu jinsi ulivyoumbwa alaf jiulize hakuna designer
Mungu ni muumbaSuala si kutambua au kutotambua uwepo wa Mungu.
Unaweza kutambua uwepo wa Mungu, hiyo ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.
Suala si wewe unatambua au hutambui uwepo wa Mungu.
Suala ni, Mungu yupo?
Na kama unasema huna cha kujadili na wanaosema hakuna Mungu, uko hapa kufanya nini?
Lakini ukifikwa na jambo mimi sitohusika, kazi yangu ni kuchonga ubao tu 😂😹😹😹 Igweeeeeeee
Fanya niupate ili ni practise sitaki kuhadithiwa mimi.!!
imani katika Mungu ni suala la imani na si lazima litathminiwe kwa njia za kisayansi au kifalsafa. Ni jambo la kibinafsi na linaweza kuathiriwa na malezi, tamaduni, uzoefu binafsi, na tafakari ya kiroho.kwahiyo unapotaka kuprove spiritual things scientifically unakosea mkuuHuyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.