Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

No research no right to talk
So kama huwezi kuprove absence ya MUNGU huwezi kuniambia hayupo njoo na ushahidi kwamba hayupo nikubaliane na ww
Leta research uliyo ifanya inayo thibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Dhana nzima ya Mungu imetokana na nyie waamini Mungu na ninyi ndio mnaodai Mungu huyo yupo.

Sisi tunapinga madai yenu ya kusema Mungu huyo yupo.

Sasa thibitisheni madai yenu ya uwepo wa Mungu ni ukweli.

Na Uni prove wrong kwamba Mungu huyo hayupo kwa kunithibitishia yupo.
Kama unataka kujua uwepo wa MUNGU fuatilia tafiti za Isak Newtown utaelewa vzr
Isaac Newton kuamini Mungu yupo si uthibitisho wa uwepo wa Mungu huyo.

Ni imani na mtazamo wake tu, usio na uthibitisho wowote ule wa kuwepo Mungu huyo.
 
Hicho kinaitwa kiburi cha uzima.Kuwa mkristo ni kitu kimoja na kumjua Mungu ni kitu kingine.Hukufanya bidii ya kumtafuta Mungu kwani waliomtafuta wamemuona na hawawezi kumuacha,ila wewe shetani kakukatisha tamaa katika safari yako na hivyo hukumuona Mungu na umeshakata tamaa."Nawapenda wale wanipendao na wale wanitafutao kwa bidii wataniona" Mithali 8:17...
 
Leta research uliyo ifanya inayo thibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Dhana nzima ya Mungu imetokana na nyie waamini Mungu na ninyi ndio mnaodai Mungu huyo yupo.

Sisi tunapinga madai yenu ya kusema Mungu huyo yupo.

Sasa thibitisheni madai yenu ya uwepo wa Mungu ni ukweli.

Na Uni prove wrong kwamba Mungu huyo hayupo kwa kunithibitishia yupo.

Isaac Newton kuamini Mungu yupo si uthibitisho wa uwepo wa Mungu huyo.

Ni imani na mtazamo wake tu, usio na uthibitisho wowote ule wa kuwepo Mungu huyo.
Kama yote yaliyoandikwa huyasadiki tafuta ushahidi wa kwamba hayupo
 
Dini zilikataza kutumia Gazi, Dawa za Uzingizi wakisema ni haramu , Je surgery zingekuwa zinafanya kavukavu ingekuaje, watu wangekuwa wanalia mpaka kufariki kutokana na maumivu ya upasuaji.
Mwanadamu mwenyewe fikra huru wakaona hapa , inabidi tuokoe maisha ya binadamu.

RC miaka hiyo ulaya iliwakataza wanawake kuzaa Kwa operation, Coz bible imeandika mwanamke at zaa kwa uchungu. Lakin binadamu werevu wakaona hapa , ni wajibu wao kuokoa maisha ya mama na mtoto aliye tumboni.
Heshimuni sana binadamu wezenu walikuwa huru kimawazo , pengine wengiwenu leo hii msingekuwepo Hai hapa duniani.

Haya niambieni ni nani mwokozi Kati ya Mungu na binadamu anayetumia maarifa ya mazingira yanayomzunguka ili kuishi maisha yalio bora kabisa
 
Wengi wanazaa Kwa uchungu...kuwepo Kwa wanaozaa Kwa oparesheni kutokana na changamoto zao haizuii kuona ukubwa wa muumba wetu ,na tumnamshukuru sana Kwa uwezo aliotupa binadamu kusaidia ambao wanachangamoto ya kuzaa Kwa kawaida..mpe Maua yake mungu asee
 
Dini zilikataza kutumia Gazi, Dawa za Uzingizi wakisema ni haramu , Je surgery zingekuwa zinafanya kavukavu ingekuaje, watu wangekuwa wanalia mpaka kufariki kutokana na maumivu ya upasuaji.
Mwanadamu mwenyewe fikra huru wakaona hapa , inabidi tuokoe maisha ya binadamu.

RC miaka hiyo ulaya iliwakataza wanawake kuzaa Kwa operation, Coz bible imeandika mwanamke at zaa kwa uchungu. Lakin binadamu werevu wakaona hapa , ni wajibu wao kuokoa maisha ya mama na mtoto aliye tumboni.
Heshimuni sana binadamu wezenu walikuwa huru kimawazo , pengine wengiwenu leo hii msingekuwepo Hai hapa duniani.

Haya niambieni ni nani mwokozi Kati ya Mungu na binadamu anayetumia maarifa ya mazingira yanayomzunguka ili kuishi maisha yalio bora kabisa
Wapi dawa za usingz zilizuiwa?
Wapi wamesema mwanamke asizae kwa operation? Kasome sola scriptura
Kwan waliposema mtaka cha uvunguni shart ainame akitumia ndoano au kamba hawezi kukipata cha uvunguni bila kuonana?
Be a thinker
 
Wengine sio wafia dini lakini huwez kutuambia mungu hayupo 😂
Kwahiyo Mungu yupo? 😂😂
Haya weka fact zako tuthibitishe
Mimi nataka nijue Mungu yupo au hayupo nipo hapa kuwafatilia hata kope sibinyi
 
Leta research uliyo ifanya inayo thibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Dhana nzima ya Mungu imetokana na nyie waamini Mungu na ninyi ndio mnaodai Mungu huyo yupo.

Sisi tunapinga madai yenu ya kusema Mungu huyo yupo.

Sasa thibitisheni madai yenu ya uwepo wa Mungu ni ukweli.

Na Uni prove wrong kwamba Mungu huyo hayupo kwa kunithibitishia yupo.

Isaac Newton kuamini Mungu yupo si uthibitisho wa uwepo wa Mungu huyo.

Ni imani na mtazamo wake tu, usio na uthibitisho wowote ule wa kuwepo Mungu huyo.
Ukishaona kuna mjadala kujadili kama Mungu yupo au hayupo tu, kumhusu huyu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, huo mjadala wenyewe tu ni ushahidi mkubwa sana kwamba huyo Mungu hayupo.

Angekuwepo, angetupa kila mtu uwezo mzuri tu wa kumjua bila utata wowote, kila mtu amjue yupi kwa kiasi ambacho mjadala wa kujadili Mungu yupo au hayupo usingewezekana.

Huyo Mungu, kwa tabia zake hizo alizopeea kama tambulishi, si mkatili hivyo atunyime uwezo wa kumjua bila utata wakati anajua kutunyima kumjua bila utata kutasababisha ubaguzi mkubwa, vita za kuua mamilioni ya watu, watu kupoteza muda mwingi katika kubishana na kutumia hisia nyingi sana.

Kwa hivyo, ukiona watu wanabishana kuhusu uwepo wa Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote), huo ubishi, huo mjadala, nao ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
 
Ambaye unasema kitu kipo halafu hapohapo huna uthibitisho wala ushahidi wa hicho kitu unachodai kipo wewe ndio mpumbavu.

Unafosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule yawe ukweli bila evidence yeyote.
😹😹😹
 
Kwahiyo Mungu yupo? 😂😂
Haya weka fact zako tuthibitishe
Mimi nataka nijue Mungu yupo au hayupo nipo hapa kuwafatilia hata kope sibinyi
Mimi nikijiangalia tu naprove kwamba Kuna mtaalam alitutengeneza asee sisi sio wa bahati mbaya. We jitathmini tu jinsi ulivyoumbwa alaf jiulize hakuna designer
 
Nazungumzia hofu ya Mungu, sizungumzii dini, dini tunajuwa ni miradi ya watu.
Hofu ina tengeneza watu wanafiki kwenye jamii. MTU anafanya uovu akiwa amejicha.

Binadamu hatakiwi kuishi Kwa hofu bali anatakiwe apewe elimu na maarifa sahihi kuusiana na mazingira anayoishi na jinsi atakavyoweza kukabiliana nazo.

Mtoto utakapo mjengea hofu na badala ya kumpa ujasiri wa maarifa sahihi, huyo mtoto atakuwa ni mtumwa Kwa wengine
 
Back
Top Bottom