Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Ni sawa na umeniuliza kwanini tufe ? Kwanini tusiishi milele ??
Inabidi utulize idea zako chini Kwa huyo designer alieumba hizo ajali za asili, huna kitu Cha kumfanya ,
Ingekua Kuna mkubwa wake na mungu tungemsemea lakini hayupo kwahyo hutakiwi ku judge
 
Nimeongelea Mungu very specific, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Huyo Mungu hayupo.

Ukisema nina uungu ndani yangu, kwa maana ya kwamba nina sehemu ya sifa hizo, siwezi kukataa.

Kwa sababu nina ujuzi fulani, nina uwezo fulani, na nina uoendo fulani. Lakini that is not my point.

I am talking about the God who is omniscient, omnipotent and all benevolent.

Umenielewa?
 
Huyo designer mwenyewe hayupo. Unalazimisha tu awepo.

Ndiyo maana mpaka sasa hujathibitisha kuwa yupo.

Kwa a priori logical fallacy.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Nchini Israel wayahudi wengi hawaamini katika Al Masih issa ibn Maryam, yaani yesu kristo ingawaje huko ndipo yesu kristo alipokulwa anaishi yerusalem,

Kwahiyo wewe kupinga uwepo wa mungu sikushangai ni kwa sababu hujapata mwangaza katika akili yako, la hasha wahenga waliwahi kunena kuwa lisemwalo lipo la hasha laja.
Siku ukifa na kwenda kuzimu ndiyo utapata majibu haya yote unayo uliza

Mola mlezi akulinde.
 
Sentensi ya mwisho imenichekesha mno.
 
Mtu kutopata mwangaza wa kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote pia ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, kila mtu angekuwa na mwangaza sahihi kuhusu uwepo wake, kwa namna ambayo mabishano haya ya uwepo wake yasingewezekana kuwepo.

Kimsingi, ukiona mabishano yoyote kuhusu uwepo wa Mungu huyu, mabishano hayo yanaonesha ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.
 
Ukristo sio dini.
 
Mungu huyo yupo, na ni kama tu utaamua kuishi maisha ya kiroho ukiwa hapa duniani.

Na ni suala tu la kuchagua (kiuhalisia inawezekana ni unaamua kati ya baya na jema we unachagua jema baya unaliacha uwezo wa kufanya hivi unao(will power) kama hauna willpower sasa hilo sio tatizo ni jeuri yako tu umeamua) na MUNGU hakutaka kukufunga katika hilo kwa hekima zake.
 
Hujathibitisha kuwa Mungu yupo, umeleta kauli za imani na kabobo za mapokeo tu.

Thibitisha Mungu yupo na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi za uongo tu.
 
Hata uongo pia husemwa, kwa hiyo sio kila lisemwalo lipo kweli.
Pia linaweza lisiwepo vilevile.

Na ili kujua kwamba lisemwalo lipo kweli, lazima utoe uthibitisho wa hilo lisemwalo tuhakiki kama ni kweli lipo au uongo halipo.

Sasa wewe Thibitisha uwepo wa huyo Yesu, Na si hadithi za vitabuni zisizo na uthibitisho wowote ule sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za Alfu Lela ulela.

Pia kama huyo Mungu kama alitaka aaminiwe yupo, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mwamini yupo siku zote bila utata na utofauti wa kiimani?
 
Mtu kama wewe unatakiwa upelekwe Mtwara ama Tanga ama Kigoma Sasa ukishapata KUJUA kuwa kuna ulimwengu halisi kabisakabisa wa roho, hapohapo unapata KUJUA kuwa MUNGU yupo...
Ulishawahi kwenda huko Tanga na Kigoma au unaandika kwa stori za kahawani!? Mimi nipo kwenye moja ya mikoa hiyo na sijawahi kuona wala kusikia stori hizo! Tatizo lenu mkikaa vijiweni kila mmoja anatafuta stori za kutunga ili kahawa ishuke!
 
Ambaye unasema kitu kipo halafu hapohapo huna uthibitisho wala ushahidi wa hicho kitu unachodai kipo wewe ndio mpumbavu.

Unafosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule yawe ukweli bila evidence yeyote.

Ambaye unasema kitu kipo halafu hapohapo huna uthibitisho wala ushahidi wa hicho kitu unachodai kipo wewe ndio mpumbavu.

Unafosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule yawe ukweli bila evidence yeyote.
Mithali 27:22 )(
Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka. Endelea kuamini mzungu aliyesema ulitokana na nyani,hata ukidhibitishiwa utakataa maana roho wa upotevu imesha kuingia.
 
Mpumbavu husema moyoni mwake hakuna Mungu.
Ila Wapimbavu zaidi ni hao waliokupa Likes
 
Angalau unaweza kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…