Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
Aisee tuko pamoja ila mimi najua Mungu yupo yule ambae tulikiwa tunamuomba kwenye makabila yetu ila huyo Mungu wao wa misalaba sijui nini aliyeletwa na Wazungu hanihusu na kiufupi Huwa siendagi hata kanisani nilishasahau.

Ukitaka kujua hao watu ni wajinga sana ,angalia matendo Yao vs wanachohubiri kuhusu huyo Mungu wao ,wamezidi kuwa washenzi wa tabia na hata ukiwaukiza wakuoneshe kitu Cha tofauti na Mimi ambae sipendi huko hawana 😆😆😆😆

Wamekalia kujazwa vitu ambavyo havipo Ili watawaliwe vizuri,in fact dini za Wazungu na Waarabu ni utapeli
 
Mithali 27:22 )(
Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka. Endelea kuamini mzungu aliyesema ulitokana na nyani,hata ukidhibitishiwa utakataa maana roho wa upotevu imesha kuingia.
Atheists 58:7,
Kichwa maji ni poyoyo tu hata ukimuuliza maswali yenye mantiki na reasoning huyapuuza kwa vile ame aminishwa na kupumbazwa kuamini hekaya za kidini zisizo na uthibitisho wowote ule.
 
(Zaburi 14:1 )
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; <br>Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, <br>Hakuna atendaye mema.
Umewahi kuona jina la Mwafrika ni Malaika au hata Nabii nanatuambia Yesu wa Wazungu alikuja Hadi Ethiopia? 🤣🤣
 
Mpumbavu husema moyoni mwake hakuna Mungu.
Ila Wapimbavu zaidi ni hao waliokupa Likes
Andika vizuri wapimbavu ndio watu wapi hao?(
Mithali 7:7
Nikaona katikati ya wajinga, Nikamtambua miongoni mwa vijana, Kijana mmoja asiyekuwa na akili, .
 
Mtu kama wewe unatakiwa upelekwe Mtwara ama Tanga ama Kigoma Sasa ukishapata KUJUA kuwa kuna ulimwengu halisi kabisakabisa wa roho, hapohapo unapata KUJUA kuwa MUNGU yupo...
Huu ni uzushi,dini Haina tofauti na Sanaa za hao mnaita wachawi Kwa sababu vyote ni sanaa
 
Kuna kitabu kimoja kiliandikwa na mmama flan wa MAREKANI ukikisoma utajua kuwa shetani na Mungu wote ni akili yako, yani shetani ni akili yako na Mungu pia ni akili yako.

Usipoamini katika uchawi hautarogwa, ukiwa jasiri mbele ya hatari yoyote bas utakuwa mshindi tu lakini isiwe katika mazingira ya kujitakia et uende ukasimame katikati ya reli eti unasema mimi ni jasiri na train haitanigonga umekwisha.
Hizo ni Shana zinajengwa kwenye akili Kwa kusikia na kusoma maandishi ya wengine.

Waliotengwbeza dini walikuwa na malengo Yao hususani kufnikisha Utawala na uporaji wa mali za wajinga.
 
Hujathibitisha kuwa Mungu yupo, umeleta kauli za imani na kabobo za mapokeo tu.

Thibitisha Mungu yupo na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi za uongo tu.
Cha kwanza kabisa hadi hatuelewani katika hili ni kwasababu wewe binafsi hauna imani.

Sasa kama hauna imani tayari uko nje ya mchezo, huwezi ukaamini/ukasadiki nitakacho kushuhudia. Kwasababu kitu unachokitaka ithibati yake hakiishi/haki-exist katika mfumo huu wa mwili bali ni form nyingine ambayo wewe Huna access nayo pasipo imani.

Kitu kitakacho kusaidia angalau kuanza kupata mwangaza ni unyengekevu(obedience) kama utaendelea kukaza shingo basi usitarajie lolote si umeamua na unahaki hiyo.

Inatakiwa uwe na imani kama ya mkulima anafukia mbegu chini bila shaka anasubili anajua itaota tu na ni kile kile alichokipanda.
 
Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
Okey ni mtazamo wakoo and uko huru kuamini unachoamini.
And mimi binafsi nimehuzunikaa sanaa kwa hatua uliyoichukuaa.
 
Cha kwanza kabisa hadi hatuelewani katika hili ni kwasababu wewe binafsi hauna imani.

Sasa kama hauna imani tayari uko nje ya mchezo, huwezi ukaamini/ukasadiki nitakacho kushuhudia. Kwasababu kitu unachokitaka ithibati yake hakiishi/haki-exist katika mfumo huu wa mwili bali ni form nyingine ambayo wewe Huna access nayo pasipo imani.

Kitu kitakacho kusaidia angalau kuanza kupata mwangaza ni unyengekevu(obedience) kama utaendelea kukaza shingo basi usitarajie lolote si umeamua na unahaki hiyo.

Inatakiwa uwe na imani kama ya mkulima anafukia mbegu chini bila shaka anasubili anajua itaota tu na ni kile kile alichokipanda.
Imani ni kichaka Cha mtu asiyetaka kufikiria,Sasa ngoja wakusaidie kufikiria hao waliokuletea dini Ili uoigwe vizuri 😆😆👇👇

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1820842450346262601?t=OFkShvWto7K_Hi2Av1TORw&s=19
 
Cha kwanza kabisa hadi hatuelewani katika hili ni kwasababu wewe binafsi hauna imani.

Sasa kama hauna imani tayari uko nje ya mchezo, huwezi ukaamini/ukasadiki nitakacho kushuhudia. Kwasababu kitu unachokitaka ithibati yake hakiishi/haki-exist katika mfumo huu wa mwili bali ni form nyingine ambayo wewe Huna access nayo pasipo imani.

Kitu kitakacho kusaidia angalau kuanza kupata mwangaza ni unyengekevu(obedience) kama utaendelea kukaza shingo basi usitarajie lolote si umeamua na unahaki hiyo.

Inatakiwa uwe na imani kama ya mkulima anafukia mbegu chini bila shaka anasubili anajua itaota tu na ni kile kile alichokipanda.
Imani si muhimu. Mimi siongelei imani.

Imani ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.

Haki ya wewe kuamini unavyotaka ipo kwenye katiba.

Mtu akitaka kukuvunjia haki hii, hata mimi nisiyeamini uwepo wa Mungu, nitakutetea haki yako ya kuamini unavyotaka isivunjwe.

Haki ya wewe kuamini unavyotaka ni haki ya kibinadamu iliyopo katika Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948. Inatambulika kimataifa juu ya hata katiba ya nchi.

Yani ukiamini ukweli, ukiamini uongo, kuamini unavyotaka ni haki yako.

Sasa hapo kwa nini unaona imani ni jambo la muhimu?

Imani ni kitu private, hakuna hata haja ya kukijadili.

Mimi najadili ukweli, najadili facts, najadiki mantiki. Sijadili imani.

Unaelewa tofauti?
 
Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
Mara mia uamini kama yupo na ukamkuta na ni vibaya sana kutokuamini hayuko ukamkuta
Piah kama hayuko alieeka sukari kwenye mananasi ni nyanya ako
 
Hautapata nafuu yoyote kwa kuamini tu yupo halafu kweli akawepi kama hautashika na kuishi mafundisho ya dini yako.
 
Back
Top Bottom