Elections 2010 MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA ona kasulu 21 sept 2010

Elections 2010 MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA ona kasulu 21 sept 2010

Mmmmmmmhhhh kama ww una ubinadamu, this picture inaumiza sana, ni ngumu kuelewa why watu maskini na wengi wao wanipa CCM kura, CCM ndio matokeo yake haya no questions on that, tumeongea mengiiiiiiiiii kuhusu CCM, na bado umaskini utaongezeka sana read UNDP report iliyotolewa 17 Nov 2010, umaskini unatisha, CCM yaani wala hawajali, ila ADUI tumemjua
 
Its real pathetic. There must be something wrong in the minds of our leader believe me. It cant be, lets be serious
 
Nyie mnaoongelea burgers na Pizza, sijui tuition, magari etc? Nani kawaambia hayo ndio maisha bora? Ladha na mfumo wa maisha ni tofauti kutoka jamii moja hadi nyingine. Huwezi kujua maisha mengine zaidi ya yale uliyoyazoea! Si mnaona hapo vijana wanapambana na mazingira yao?Kwenye maisha husubiri kufanyiwa vitu na serikali au watu wengine kutoka nje bali unapaswa uyamudu mazingira yako kwa kupambana nayo.
 
Acheni uzandiki hapa. Maisha bora hayawezi kuja kwa kukaa vijiweni na kucheza bao. Wanaojibidisha na kazi hukohuko waliko wanafanikiwa vizuri tu. Tatizo ni nyie wasomi wetu mnageuka mchwa na kusahau mliko utoka. Wengi wengi hapa mnaandika tu lakini ni Roho za wizi wa mali za umma na ufisadi wa kutisha. Jiangalie kwenye kiti chako hapo ulipo, umekwepa kulipa kodi mara ngapi, umemwibia mwajiri wako mara ngapi, umemdanganya mwajiri wako mara ngapi, umekwamisha mipango muhimu kwa umma mara ngapi, umechukua lisiti za kununulia bidhaa mara ngapi, umechafua mji mara ngapi, Kila kona balaa tupu. nyambafu
 
Wameyataka wenyewe....tatizo hawajui huku watoto wa viongozi wao wanaishije nafikiri kuwe na mbinu ya kuwafikishia walau picha zenye maisha ya watoto wa vigogo wanoongoza nchii ili kuwapa uchungu huko machimboni vijijini...
 
:A S-cry: Na hiyo wilaya kwa taarifa yenu, HAINA UMEME HADI LEO!
 
Nimeishi Kasulu hakuna wa kumuuzia kuni,labda Mkaa,hawa walikuwa wanawajibika katika familia zao. Kasulu hakuna Gesi Umeme nishati kubwa kuni na iko kila mahali ni wewe kifikia tu.
 
Back
Top Bottom