Anonymous Writer New Member Joined Jun 1, 2021 Posts 3 Reaction score 3 Jun 3, 2021 #1 Maisha bora yanaanza na wewe, jipende, jilinde na jiheshimu. Pambana kubadlisha maisha yako leo ili kesho yako ikawe nzuri na kuvutia. Usiwaze kuhusu jana yako, mana umeshaizika na kamwe haitarudi tena.
Maisha bora yanaanza na wewe, jipende, jilinde na jiheshimu. Pambana kubadlisha maisha yako leo ili kesho yako ikawe nzuri na kuvutia. Usiwaze kuhusu jana yako, mana umeshaizika na kamwe haitarudi tena.