Pro Biznesi Member Joined Aug 7, 2019 Posts 9 Reaction score 10 Jun 14, 2022 #1 Je, ipo siku ulishawahi kuishi chini ya dola moja? Maisha yanaendaje hapo? Unampa ushauri gani mtu anayepitia kipindi kigumu hivyo? Afanye nini ili aweze kutoka hapo ajikwamue maisha yake na umaskini?
Je, ipo siku ulishawahi kuishi chini ya dola moja? Maisha yanaendaje hapo? Unampa ushauri gani mtu anayepitia kipindi kigumu hivyo? Afanye nini ili aweze kutoka hapo ajikwamue maisha yake na umaskini?
Bongo Trust JF-Expert Member Joined Apr 23, 2017 Posts 253 Reaction score 247 Jun 14, 2022 #2 Ni kupiga kazi tu