Maisha chini ya dola moja?

Maisha chini ya dola moja?

Pro Biznesi

Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
9
Reaction score
10
Je, ipo siku ulishawahi kuishi chini ya dola moja? Maisha yanaendaje hapo?

Unampa ushauri gani mtu anayepitia kipindi kigumu hivyo?

Afanye nini ili aweze kutoka hapo ajikwamue maisha yake na umaskini?

dollars-499481_1280.jpg

 
Back
Top Bottom