Maisha club imebaki jina tu

Maisha club imebaki jina tu

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Maisha club toka imehamia Mwenge imekuwa kama pub flani ya kishamba sana.
You can't believe wana kaka kamoja kimbamba keupe yani eti ndio official dj wao kinajua tu nyimbo za kina mario na aslay yani hakuna mzuka ule wa Club maisha wa zamani.
Sasahivi ni saa nane kamili usiku wakati wenzao ndio kumekucha wao wti mziki ndio umeisha/wamezima na kuondoa kimeo chao cha pc ya Apple kwa dj table Hyperman HK your club is already suffocated where are you?
 
Maisha club toka imehamia Mwenge imekuwa kama pub flani ya kishamba sana.
You can't believe wana kaka kamoja kimbamba keupe yani eti ndio official dj wao kinajua tu nyimbo za kina mario na aslay yani hakuna mzuka ule wa Club maisha wa zamani.
Sasahivi ni saa nane kamili usiku wakati wenzao ndio kumekucha wao wti mziki ndio umeisha/wamezima na kuondoa kimeo chao cha pc ya Iphone kwa dj table mother fuckeeeeeer Hyperman HK your club is already suffocated where are you?
"" kimeo chao cha pc ya Iphone ""
Hmmm
 
Maisha club toka imehamia Mwenge imekuwa kama pub flani ya kishamba sana.
You can't believe wana kaka kamoja kimbamba keupe yani eti ndio official dj wao kinajua tu nyimbo za kina mario na aslay yani hakuna mzuka ule wa Club maisha wa zamani.
Sasahivi ni saa nane kamili usiku wakati wenzao ndio kumekucha wao wti mziki ndio umeisha/wamezima na kuondoa kimeo chao cha pc ya Iphone kwa dj table Hyperman HK your club is already suffocated where are you?
Ukitaka Raha fungua yako
 
Hiyo pc ya iPhone ni noma [emoji3][emoji3]
 
"Hiyo pc ya iPhone inauzwa wapi??"

Hopefully ulikuwa unamaanisha Apple Macbook n.k
 
Vipi Jana.pens down party ya UDSM ilikuaje?
Maisha club toka imehamia Mwenge imekuwa kama pub flani ya kishamba sana.
You can't believe wana kaka kamoja kimbamba keupe yani eti ndio official dj wao kinajua tu nyimbo za kina mario na aslay yani hakuna mzuka ule wa Club maisha wa zamani.
Sasahivi ni saa nane kamili usiku wakati wenzao ndio kumekucha wao wti mziki ndio umeisha/wamezima na kuondoa kimeo chao cha pc ya Iphone kwa dj table Hyperman HK your club is already suffocated where are you?
 
Maisha Club ya Dom ndio kabisa watu wanapalilia majani kwenye kaburi maana ilishazikwa kitambo
 
Ebu ngoja kwanza..Ni PC ya iPhone au ya Apple??Back 2 e' point Njoo Club Kokoriko Chuga Bablae.
 
Back
Top Bottom