Maisha halisi nchini Marekani

Maisha halisi nchini Marekani

Vipi nikishinda DV lottery na sijafika highschool nafanyaje?
 
Mimi nimekaa Marekani mji wa Washington. Ubaya wa Marekani hakuna undugu kila mtu kivyake kiutafutaji. Maisha ya Marekani ni magumu sana kwa kiingereza tunaita hand to mouth. Kwa gharama ya $600 kwa mwezi naona mtu huyo anapata mateso makubwa. Kama alivyosema kuwa anaweka akiba ya $4500 kwa mwezi. Kwa Afrika ukiwa unajishughulisha hicho kiasi ni kidogo kwa mfanyabiashara wa Afrika. Kinachotuharibu hapa Afrika hatuna utaratibu mzuri wa maisha. Familia tegemezi za afrika huwezi linganisha na familia ya America ya mtu mmoja, mkewe na mtoto. Nawashauri hapa kwetu Afrika kuna fursa nyingi sana kuliko America ambapo hata usingizi hupati kwa kudandia kazi za kuhama hama kwa siku.
We jamaaebu tuache kwnz. Umeshakaa marekani umepiga pesa saiv unakuja kushauri wenzio wasiende kw Kuwa wew umerud sjui umeshafanikiwa . Waache watu wakatafute maisha Bongo nyoso
 
Wabongo bhna we km unayapinga ya jamaa. Yaseme yako yaliyokuw sahihi sas . MTU anatupa hint munampinga ukiambiw wew unajua na haukuw na mpango WA kutuambia
 
Back
Top Bottom