sjosh4
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 888
- 941
Teenager na show off ageMiaka 20 ni very risk age! Nashukuru nilishavuka huo imri salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teenager na show off ageMiaka 20 ni very risk age! Nashukuru nilishavuka huo imri salama
Hapa ni automatic mda wowoteMbona hujaweka na ratiba ya kuingia JF[emoji23][emoji23]
Nipo vizuriPamoja sana !!!... Ila ujipe muda wa mazoezi, mpira kucheza n.k... Kitambi kisije kukubakishia Kibamia.
Na wadada Wetu wa kileo, hawachelewi kukuchana makavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta nyuzi za ndugu anaitwa kidukulilo halafu urelate na uzi wako.
Routine life ni very boring. Ila kama uko hapy poa tu. Mimi sipendi routine, napenda kuishi kulingana na hali tofautitofauti mtambuka.Ni kijana wa kitanzania, umri ni 20's, sijaoa wala sina mpenzi, sina MTOTO HATA MMOJA lakini NINA NYUMBA 2 na GARI MOJA.
Elimu nina Degree ya Business.
Nikiamka asubuhi sa11 alfajiri nafanya mazoezi, baada ya hapo naoga halafu nakunywa maziwa nusu lita na maji lita 1 then naenda kazini.
Sa4 asubuhi nikiwa kazini napata breakfast (nzito)
Saa saba mchana napata Mlo wa mchana (sio chakula cha mchana)
Saa9 alasiri napata Glass 1 ya Red wine [emoji485]
Then natoka kazini sa11.
Nyumbani nafika sa12 na nusu jioni, napumzika mpaka sa2 usiku, saa 2 usiku naangalia taarifa ya habari, sa4 usiku nakula matunda nakunywa na maji mengi nalala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuuRoutine life ni very boring. Ila kama uko hapy poa tu. Mimi sipendi routine, napenda kuishi kulingana na hali tofautitofauti mtambuka.
PoaTafuta nyuzi za ndugu anaitwa kidukulilo halafu urelate na uzi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tuu, mafuta juu yakoSawa tajiri secretary pompeo tumekusoma! Vipi ndinga unaazimisha?[emoji4] nina ka function weekend
Sent using Jamii Forums mobile app