Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

Mm nataka kuzamia kuishi Thailand kuna fursa nyingi tofauti na south Africa
 
Nahisi nilikuwa natembea na mtoa mada kila alipokuwa anakwenda! i salute.
 
Sante Ontario
 
Nina miaka zaidi ya kumi Cape Town....Kipindi nafika nilikua nakaa long street kwenye apartment moja ya kawaida sana ilikua almost R 1500 (225,000 TZS) per month na tulikua tunakaa wawili hivyo nilikua nachangia R 750..Mwaka juzi nimehama long street sasa napatika Salt River maeneo ya Table Bay mashariki mwa jiji la Capetown.Sorry nilisahau mimi siyo mteja kaka ha ha ha ninafanya biashara ya vinyago na bidhaa za kiasili kutoka Tanzania na nchi majirani.
 
Bora utulie tu nyumban kwanza utakuwa na amani kuliko kwenda huko kuhangaika
 
Uwa ukoseagi kabisa kutoa muongozo wa maisha hapa JF
 
Mkuu mmekusoma vizuri sana aisee post yako ina stahili ku appear ktk magazeti yetu hapa Tz naamini watu wengi watajifunza uhalisia wa Maisha ya South!!!
 
Daahh nlishawahi kuwaza kwenda nchi za nje......daahh na kuna mwanangu yupo south Africa.......cjui kaotea au ndo mmoja ya majamaa aliokutana nao mleta uzi
 
Nahisi nilikuwa natembea na mtoa mada kila alipokuwa anakwenda! i salute.
Jamaa ni mwandishi mzuri. Sema ametumia kipaji chake kupotosha. Huwezi kwenda sehem ukaona watu watatu ndo ukageneralize watu wote. Vipaji vikitumiwa vibaya ni sumu mbaya.
Ndani ya bongo maisha hayo yapo. Huwezi leta mgeni akaona watu wanakula unga. Au tandale akaona watu wanaingiliwa na maji then useme ndo watanzania wote maisha yao. Amefanya kitu mbaya sana.
 
Umejitahidi Mkuu, Big up!!

Uzoefu nilionao ni kuwa watu wengi wanaoishia ughaibuni na kukosa dira wanaogopa kurudi nyumbani kwa kuhofia kuchekwa kwa kuhisi kuwakuta waliowaacha wakiwa na maisha improved. Na kadri wanavyochelewa kuchukua maamuzi ya kurudi ndipo uwezekano unapotea kabisa. Na hii si kwa WaTz tu, nilijifunza hili kwa mara ya kwanza kutoka kwa Wakenya.
Mimi ushauri wangu ni kuwa, hata unapoamua kutoka kwenda kubahatisha maisha ughaibuni usijione mpweke kurudi nyumbani unapogundua hukufanya uamuzi sahihi. Wenzetu walioendelea hufanya sana haya, wanaita return migration, si jambo baya.
 
Mbona mkuu una kiherehere hivyo? Wewe ndo Shibekijijini? Tupe mrejesho basi!!!
Ushishikiwe akili ndugu yangu. Huyo jamaa yako kaenda kutafuta. Yaeza kua kapata Au bado. Kama kweli ni jamaa yako muombee mungu. Ontario ni mwandishi mzuri na ametumia uandishi wake kupotosha. Sio wabongo wate wanateseka. Sio wote matajiri. Na wengi wanaishi maisha ya kawaida. Labda kwao nafuu kuliko walivokuwa home.
Mtu akitoka kwa lengo la kutafuta mpe big up. Ni mwanaume. Kumbuka wengi waliotoka ni watoto wa walala hoi. Mtu kama ontario hawezi kuelewa. Usimkatishe tamaa Mtu anaejaribu kutafuta. Mpe moyo na ushauri nasaha. Maoni tu
 
Mku umenikumbusha hapo Diplomatic kwani si michezo. Vipi yuropa,the loyd umeshapatembelea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…