Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii dunia yote ni yetu, Huko kote tutafika. Hapo Munich siwezi kupasahau aisee, maana vijana wangu walikuja kichwa kichwa Alianze Arena wakapokea rungu za usoni.Vielen dank..danke schon mkuu ONTARIO
Itabidi nikualike uje utembelee pande za Cologne, Dortmund, Frankfurt, Berlin, Coluna , Munich's etc
Haaaaa upo sehemu ganiHa ha ha ha!we jamaa safari yako yote umebahatika kukutana na wabongo wasiojielewa tuu na mitaa uliyotembelea huwezi kumkuta mbongo anaefanya ishu zake muhimu akae huko.njoo siku nyingine tukutembeze viwanja vyetu tuone kama utatamani kurudi kwa bashite.
Unaishi wapi boss, weekend nakuja Honey Dew kuna ishu nafata.
Una hekima sana kaka be blessedMkuu sijui hasa kama una lengo la kuelimisha Au upo kwa ajili nyengine. Hakuna sehem nilioweka mkazo wa wewe kukosea jina na wala sikujua kua umekosea jina. Mimi nipo hapa Toka 94. Ila bado haimaanishi kua najua Kila sehem. Sikua na hakika kua hiyo ni sehem labda siijui Au umekosea. Ndo mana nikaweka mabano kutaja jina nililofikiri ni sawa.
Siwezi kukataa kua umefika cape town Au umesoma hapa. Hata ungesema umezaliwa hapa. Siwezi pinga mkuu. Na kukosea jina kwaeza kua na sababu nyingi. Ikiwemo simu yenyewe Au kukosea tu. Sikuweka kua hiyo ni point kubwa.
Kuhusu kunifananisha na mwanamke alie kwenye period imenishangaza sana. Hiyo ni kitu kubwa ambayo mimi na wewe hatujui inakiwaje. Inafaa tuiheshimu. Ina mchango mkubwa wa kuwepo kwetu hapa.
Ukweli mkuu. Mamaako mzazi ambae naamini kua ni mwanamke (unless otherwise you state otherwise na sitopinga) kama asingekua anavuja damu Kila mwezi (period) Hata hiko chuo ulichosoma cape town usingekijua
Zaidi ya hayo Hakuna nilichopinga katika uliyoyasema ila hukukaa ukayajua maisha yetu hapa ipasavyo. Sikatai. Sitokataa wapo Au tupo ambao hatupo supa kimaisha hapa. Ila wapo ambao wapo vizuri sana.
Nieleze vzr hii forex ipojeMkuu, ulivyoongea kuwa dogo ni mtaalamu kwenye mobile tech, kuna picha nimepata hapa... Kuna kipindi aliwahi kusema watu wa install app yake ya matangazo ya kibiashara kwenye simu zao, halafu kila siku utakuwa na unauhakika wakuingiza R70 kwenye personal acc kulingana na idadi ya watu watakao tembelea hiyo app kupitia jina lako.
Nilijiuliza sana hiyo inawezekana vipi, ila nilihisi tu huyu atakuwa ni scammer japo nimejaribu kuwatafuta kama kuna yeyote aliyejaribu kuingia kwenye mtego huo sijafanikiwa. Lakini wale madogo hata drugs wanasukuma sio kwa ule utajiri *****.
FOREX trade ni wabongo wachache sana wanaoifanya, itabidi huu mpango wa kutoa mentorship uwekee dhamira ya kweli mkuu, nakuhakikishia ukiviisha hata vichwa 30 tu... Utakuwa celebrity zaidi hata ya Bashite kwa maana you will change the lives of many. Mimi kuna level nikifika lazima ntatafuta mentor.
Upo kayanga au murushaka?The more city inavyozidi kuwa modern ndio the more social and economic evil zinaongezeka.
Wale bushmen akina Xi wana maisha mazuri saana kule kijijini kwao kuliko wanaoishi hapo downtown kwa madiba.
Thank God! Sijawahi kuwaza kwenda south, napiga hela nyeupe za bila jasho kwa wakulima wa Maharage hapa karagwe.
Easy money!
Ahaaaa..eti wakala za kichwa,, one step at a time.Hii dunia yote ni yetu, Huko kote tutafika. Hapo Munich siwezi kupasahau aisee, maana vijana wangu walikuja kichwa kichwa Alianze Arena wakapokea rungu za usoni.
Let's keep in touch boss, nikipata sababu ya kuja huko ntakustua.
Unapiga maisha na wanyambo karagwe, sio?The more city inavyozidi kuwa modern ndio the more social and economic evil zinaongezeka.
Wale bushmen akina Xi wana maisha mazuri saana kule kijijini kwao kuliko wanaoishi hapo downtown kwa madiba.
Thank God! Sijawahi kuwaza kwenda south, napiga hela nyeupe za bila jasho kwa wakulima wa Maharage hapa karagwe.
Easy money!
Sasa ndugu mbona unaonekana utafiti wako umeelemea kwamateja namachangudoa sasa ulitarajia ujenamajibu gani zaidi yahayo??? Watanzania wengi south Africa wanamabiashara, wanakazi zao. Nakubaliana nawewe kua wengi (hasajamii uliyoifanyia utafiti) maisha yao hayaeleweki lkn kisiwe kigezo chakuutangazia umma wabongo. Waishio afrika kusini life lao bovu wewe umepita south huijui kweli ktk utafiti wako hujatuletea hats mtz mmoja aliyefanikiwa
Hivi kweli. ... tuelimishane, mtu asiyemtanzania, aje Tanzania. Akae hotel, aachwe hapo na mwenyeji wake. Then achukuliwe apelekwe tu kariakoo Au Posta, aingie madukani then akitoka hapo ndio apate uhalisi wa maisha ya watu hapo? Watu wenye shughuli zao watakua wanafanya nini humo mitaani ulimopita mida hiyo? Hususani Johannesburg watu wenye shughuli zao huwezi kuwakuta mjini bila sababu. Hata hao uliowapata wananyoa umewapata ndani ya saluni zao. Kiukweli watu wanaishi hapa.Boss Andika uzi wako wa wafanyabiashara unaowazungumzia. Mimi siwaoni huku hao unaowasema wewe.
Mkuu kiukweli nakuelewa sana, Mimi nitakua moja kati ya wanafunzi wako boss wangu. RespectUsiwe na Presha Boss.
Hiyo kitu ndio nahangaika nayo huku SA, nimepata mwanga, niseme mwanga mkubwa hadi sasa kwa vitu vilivyofata. Nimesign tayari deals 2 kubwa na za kibabe.
Nikirudi tu Bongo nakamilisha mawili matatu na BoT na Brela, then from there tunaMove forward "Kudownload pesa". Yani vitoto vidogo huku SA vina ukwasi wa kutisha mno.
Kuna kijamaa kidogo sn, tuseme umri wng - miaka 23-25 anaitwa Shezi. Juzi juzi kanunua mgodi kwa $10 mil tena katoa mpunga cash. Sisi huku bongo tupo tu tunakuna mapvmbv na kukimbizana na mamachinga wasiuze CD za kina Vin Diesel.
Wakuu hao madogo mnawajulia wapi inaonekana wana insipire saanaMkuu, ulivyoongea kuwa dogo ni mtaalamu kwenye mobile tech, kuna picha nimepata hapa... Kuna kipindi aliwahi kusema watu wa install app yake ya matangazo ya kibiashara kwenye simu zao, halafu kila siku utakuwa na unauhakika wakuingiza R70 kwenye personal acc kulingana na idadi ya watu watakao tembelea hiyo app kupitia jina lako.
Nilijiuliza sana hiyo inawezekana vipi, ila nilihisi tu huyu atakuwa ni scammer japo nimejaribu kuwatafuta kama kuna yeyote aliyejaribu kuingia kwenye mtego huo sijafanikiwa. Lakini wale madogo hata drugs wanasukuma sio kwa ule utajiri *****.
FOREX trade ni wabongo wachache sana wanaoifanya, itabidi huu mpango wa kutoa mentorship uwekee dhamira ya kweli mkuu, nakuhakikishia ukiviisha hata vichwa 30 tu... Utakuwa celebrity zaidi hata ya Bashite kwa maana you will change the lives of many. Mimi kuna level nikifika lazima ntatafuta mentor.