Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

daaah!!
kamera hizi zina umbua watu, halaf jamaa ukimuona huwez kumdhania, [HASHTAG]#Menaretrash[/HASHTAG] ndio ilikuwa ina trend huko kwa ndugu zetu kisa uzembe wa huyu dogo

Hao wanawake waliokuwa wanatrend hiyo hashitagi wapuuzi na malofa. Nimeona wanawake wengi sana wakielezea hisia zao juu ya hili tukio huku wakifanya generalization za kipuuzi.

Lakini huyo demu nae acha akome, maana hata ndugu zake waliwahi kumshauri amuache msela sababu ya vipigo ila maskio yake yalizibwa na $$$.
 
Katudhalilisha mno Sandile. Lakini uzuri kakubali kua aliuwa na kuchoma mwili moto... hivyo anaenda mahakamani kukamilisha tu ushahidi, kisha azame nyuma ya nondo hadi kifo kimkute. So sad at his age and fame.
so sad! ila sometimes wanawake huwa wanakera!! you never know walipishana nini, ila ingekuwa tukio lilifanyika bongo alisha pona huyo, sema mambo ya kamera huko ndio yame muumbua.
 
Hao wanawake waliokuwa wanatrend hiyo hashitagi wapuuzi na malofa. Nimeona wanawake wengi sana wakielezea hisia zao juu ya hili tukio huku wakifanya generalization za kipuuzi.

Lakini huyo demu nae acha akome, maana hata ndugu zake waliwahi kumshauri amuache msela sababu ya vipigo ila maskio yake yalizibwa na $$$.
hahahaha
walikuwa wanakera halaf they are very emotional, yaan wengine ukiwachana live hadi wanaku unfollow.
ila dogo alikuwa mzuri jaman, kuua kiumbe kama kile unastahili unyongwe
 
KATIKA HILI HAKUTUTENDEA HAKI HUYU MHESHIMIWA, ALIYO YA ZUNGUMZA MENGI NI SAHIHI ILA SI KWAMBA WOTE TULIO HAPA TUPO HIVYO INAWEZA LIKAWA NI KOSA LA MWENYEJI WAKO AU NI MAKUSUDI TU! 0733318248 TUWASILIANE UJE NYUMBANI TAFADHALI.

Next month nitakuwa Jetpark town DsV . If possible nitakucheki, nina safari ya kwenda Cape kwa kina Subie wa FDD.
 
Pia ufike cape town. Na ukifika Johannesburg fanya mawasiliano tukukutanishe na watanzania wenye maisha yao. Mana kuwajumlisha wote kisa umeona maisha ya mateja. ... da!

Upo cape, kuna jamaa zangu hapo fire dynamic n disaster FDD , kina subie, jacque, monageng , nhlapo, Ramathbela na wengneo kibao
 
mkuu much thanks for compliment. Hii kitu kiukweli sio yakuacha hata kidogo hasa kwa mtu ambae ana ufahamu kiasi na lugha pamoja na basics mbili tatu za uchumi.

Binafsi kuhusu hii mambo bado niko kwenye level za awali kabisa, this time naenda nayo mdogo mdogo nisije kuishia njiani. Nikiwa kama learner ninaweza kuchangia pale nilipoiva kabisa. Hii ukimlinsha mtu tango pori hasa kwenye hatua za mwanzo ummemaliza.

Ninachoweza kushauri baada ya ONTARIO kutudhibitishia kwamba hata anza rasmi kutoa trainings kuanzia mwezi gani, basi hapo kila anaehitaji aanze kufanya maandalizi personally huku akifahamu anakuja kuingia kwenye hii kitu mazima na sio kujaribu.

Hizo few $$$ you will be able to multiply them as much as you wish by the time you start to trade as a professional trader.

Asante sana mkuu.

Kiukweli mimi nimekuwa mwoga wa biashara za ujanja ujanja (hope unanielewa). Ambazo mara nyingi zina-take advantage na maisha ya watu hapa kwetu Tanzania. Na kwa sababu unakuta mtu kapata hela ya ghafla au uelewa mdogo hachukui hata mda kujifunza/kuielewa hiyo biashara husika.

Trading nimeifuatilia lakini I need additional knowledge. Bado najiona napwaya sana. Kuna kipindi nilinunua hisa CRDB, TOL na usisahau NICO lakini kila siku ni afadhali ya jana. With exception ya TBL!

By the way ni vizuri tukiwa tuna-share info kama hizi. Even if you come across some nice books on this nk. Just recommend.

Angalizo: Ukiona biashara mtu anakwambia utangulize pesa/umtumie hela kujiunga au kwa sababu yoyote ile. Be careful!
 
Usiwe na Presha Boss.

Hiyo kitu ndio nahangaika nayo huku SA, nimepata mwanga, niseme mwanga mkubwa hadi sasa kwa vitu vilivyofata. Nimesign tayari deals 2 kubwa na za kibabe.

Nikirudi tu Bongo nakamilisha mawili matatu na BoT na Brela, then from there tunaMove forward "Kudownload pesa". Yani vitoto vidogo huku SA vina ukwasi wa kutisha mno.

Kuna kijamaa kidogo sn, tuseme umri wng - miaka 23-25 anaitwa Shezi. Juzi juzi kanunua mgodi kwa $10 mil tena katoa mpunga cash. Sisi huku bongo tupo tu tunakuna mapvmbv na kukimbizana na mamachinga wasiuze CD za kina Vin Diesel.
Asee niunganishe please...naona midolari hiyoo mbele ya macho yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

In all seriousness ...mkuu unarudi lini bongo?
 
Asante sana mkuu.

Kiukweli mimi nimekuwa mwoga wa biashara za ujanja ujanja (hope unanielewa). Ambazo mara nyingi zina-take advantage na maisha ya watu hapa kwetu Tanzania. Na kwa sababu unakuta mtu kapata hela ya ghafla au uelewa mdogo hachukui hata mda kujifunza/kuielewa hiyo biashara husika.

Trading nimeifuatilia lakini I need additional knowledge. Bado najiona napwaya sana. Kuna kipindi nilinunua hisa CRDB, TOL na usisahau NICO lakini kila siku ni afadhali ya jana. With exception ya TBL!

By the way ni vizuri tukiwa tuna-share info kama hizi. Even if you come across some nice books on this nk. Just recommend.

Angalizo: Ukiona biashara mtu anakwambia utangulize pesa/umtumie hela kujiunga au kwa sababu yoyote ile. Be careful!

Mkuu kiukweli hizi biashara za mtandaoni hizi ni kuwa nazo makini sana hasa kwa nchi yetu hii ambayo % hatuna knowledge ya kutosha na mambo ya I.T. kuna watu wakipata account namba ya bank tu hata bila password yako wana kumaliza. Hivyo kama itabidi uwe umeshajiridhisha sana kabla ya kuingia.

Lakini pia tusisahau maisha siku zote huwa ni risky, na mafanikio yako yana depend na risky unayochukua. "if you risk big, you get big"-Billget.

Kwa hiyo mkuu lazima tufanye risk hili kupata success, na hii FRX ndio high risky hatari lakini pia ndio most lucrative business in financial market worldwide.

Ukitaka vitabu vipo sana Mkuu mpaka vya psychology ya hii mambo, siku ukiwa tayari kuingia rasmi nijulishe tu.

mimi ni mzito sana kutoa hela kabla sijapata ninachokihitaji.
 
Mkuu, kiufupi tu nilivyoskia huyu demu alikuwa ana date na jamaa mmoja tajiri kijana huko huko kwao bondeni. Demu aliondoka kwao tangu tarehe 28 April na ikasemekana kwamba alienda kwa mchizi wake, siku chache baadae akawa hapatikana kabisa hata kwenye simu, ndugu zake walivyomuuliza mchizi wake nae akasema hajui. Na ndipo walipochukua jukumu la kuanza kumtafuta ikiwa ni pamoja na kumtangaza kwenye social network.

Mnapo tarehe 11 may ikafahamika kuwa aliuwawa na kuchomwa moto, na muhusika wa tukio hilo ni boyfriend wake kwa msaada wa CCTV cameras. Sababu ya yeye kupigwa hadi kufa sijui ila demu alikuwa anapigwa sana na mshiki hata siku za nyuma.
Daah ...it pain kwakweli...

Nashukuru mkuu , ngoja nichimbue kiundani
 
mkuu much thanks for compliment. Hii kitu kiukweli sio yakuacha hata kidogo hasa kwa mtu ambae ana ufahamu kiasi na lugha pamoja na basics mbili tatu za uchumi.

Binafsi kuhusu hii mambo bado niko kwenye level za awali kabisa, this time naenda nayo mdogo mdogo nisije kuishia njiani. Nikiwa kama learner ninaweza kuchangia pale nilipoiva kabisa. Hii ukimlinsha mtu tango pori hasa kwenye hatua za mwanzo ummemaliza.

Ninachoweza kushauri baada ya ONTARIO kutudhibitishia kwamba hata anza rasmi kutoa trainings kuanzia mwezi gani, basi hapo kila anaehitaji aanze kufanya maandalizi personally huku akifahamu anakuja kuingia kwenye hii kitu mazima na sio kujaribu.

Hizo few $$$ you will be able to multiply them as much as you wish by the time you start to trade as a professional trader.
Ndo tunachokitaka hicho mkuu...

Ontario atupe updates tujipange ili akitua bongo tuwe tumeshajikamilisha in term of financ time & energy..

Personal, I need to create a privately financed project..
 
Back
Top Bottom