Benny EM
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 488
- 349
Mkuu embu niambie nikija SA nijipangaje kuanzia usafir mpaka mda nafika hapo,, na niwe na Balance kiasi gani mpaka mambo yatakapo kaa sawa ..kiukweli na nia ya dhati kusepa hapa.Mie nipo port elizaberth.mie najishugulisha na biashara za vinyago katika malls.pia wapo watu wana maduka na bar pamoja ma workshop za magari.huyo mwandishi kaongelea "falls za wabongo na sio "Rise za wabongo Sa