Baba Mkali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 810
- 813
Hebu fika na Cape Town upachimbe na penyewe! Natakiwa kuwa hapo kwa miezi6 kuanzia Julai mwaka huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijui hasa kama una lengo la kuelimisha Au upo kwa ajili nyengine. Hakuna sehem nilioweka mkazo wa wewe kukosea jina na wala sikujua kua umekosea jina. Mimi nipo hapa Toka 94. Ila bado haimaanishi kua najua Kila sehem. Sikua na hakika kua hiyo ni sehem labda siijui Au umekosea. Ndo mana nikaweka mabano kutaja jina nililofikiri ni sawa.Kukosea kuliandika jina sidhani kama ni dhambi kubwa na haiondoi ukweli wowote juu ya uwepo wangu huko na isitoshe ni miaka mingi tokea nimekuwa huko hivyo nashangaa ' unapovuka ' hovyo kama Mwanamke aliye ' period ' au katika ' heat '. Maelezo mengi halafu ' Pumba / Upupu ' mtupu. Mbona hujazishangaa hizo ' Facts ' zingine nilizozitoa za hapo Cape Town hasa University of Cape Town nilipokuwepo 2004 mpaka 2005?
Ametoa somo zuri sana kwa wale wanaofikiria wanaweza kwenda ishi katika nchi za watu bila malengo si kwamba hakuwaona waliofanikiwa, amefadhaishwa na wale walioiacha nchi yao na kwenda kudhalilika katika nchi za watu. Mkuu usiombe ukamuona mtanzania akiwa ktk hali kama aliyoizungumza jamaa hapo inaumiza sana, nilikuta jamaa anapiga debe sehemu iliniuma sana, jinsi alivyo ilibidi tujiulize kwani nyumbani hawezi piga debe? Njemba anajisifu ana miaka mitano kwa kazi hiyo, kweli!!?Yaaani ukisoma vizuri post unaona jamaa yupo against na wabongo waishio huku kwasababu kabase upande mmoja tuu kwani huko bongo hawapo hao mateja na wabeba box au vinyozi?inshort ingekuwa hivyi basi wasingekuwa wanamiminika huku badala ya kurudi.kuishi kwa kupigana madongo ndy kikubwa kinatukwamisha.
Mkuu, ulivyoongea kuwa dogo ni mtaalamu kwenye mobile tech, kuna picha nimepata hapa... Kuna kipindi aliwahi kusema watu wa install app yake ya matangazo ya kibiashara kwenye simu zao, halafu kila siku utakuwa na unauhakika wakuingiza R70 kwenye personal acc kulingana na idadi ya watu watakao tembelea hiyo app kupitia jina lako.Hapana usiende kwa 'undercover billionaire'. Yule dogo anaitwa Louis Junior, ni bright sana kichwani hasa maswala ya mobile tech, na hauwezi kuamini yule yupo kwenye program ya 1 to 1 mentorship na Richard Branson.
Dogo si trader kabisa, bali ni investor, anachukua pesa zake anawapa traders makini wantredie yeye huku akipush ishu zake za technology.
Nakumbuka aliingia mgogoro mkubwa sana na trader mmoja anaitwa Andile Saphisihle. Louis alimapa kama $35,000 ili amtredie Andile akamtapeli mazima. Pia sikushauri ujifunze Fx kwa online. 1 to 1 training is the best.
Narudi soon Bongo, moja kati ya kitu ambayo napambana kufanikisha ni kuleta forex Bongo. Kama Magu kashindwa kbs kuhakikishia vjn wetu ajira basi inabidi sisi wadau tunaolipenda taifa tuhakikishe vijana hawa hawawi majambazi, matapeli na mateja. There's always a way out.
Usiwe na Presha Boss.
Hiyo kitu ndio nahangaika nayo huku SA, nimepata mwanga, niseme mwanga mkubwa hadi sasa kwa vitu vilivyofata. Nimesign tayari deals 2 kubwa na za kibabe.
Nikirudi tu Bongo nakamilisha mawili matatu na BoT na Brela, then from there tunaMove forward "Kudownload pesa". Yani vitoto vidogo huku SA vina ukwasi wa kutisha mno.
Kuna kijamaa kidogo sn, tuseme umri wng - miaka 23-25 anaitwa Shezi. Juzi juzi kanunua mgodi kwa $10 mil tena katoa mpunga cash. Sisi huku bongo tupo tu tunakuna mapvmbv na kukimbizana na mamachinga wasiuze CD za kina Vin Diesel.
Mkuu sijui hasa kama una lengo la kuelimisha Au upo kwa ajili nyengine. Hakuna sehem nilioweka mkazo wa wewe kukosea jina na wala sikujua kua umekosea jina. Mimi nipo hapa Toka 94
Mkuu sijui hasa kama una lengo la kuelimisha Au upo kwa ajili nyengine. Hakuna sehem nilioweka mkazo wa wewe kukosea jina na wala sikujua kua umekosea jina. Mimi nipo hapa Toka 94. Ila bado haimaanishi kua najua Kila sehem. Sikua na hakika kua hiyo ni sehem labda siijui Au umekosea. Ndo mana nikaweka mabano kutaja jina nililofikiri ni sawa.
Siwezi kukataa kua umefika cape town Au umesoma hapa. Hata ungesema umezaliwa hapa. Siwezi pinga mkuu. Na kukosea jina kwaeza kua na sababu nyingi. Ikiwemo simu yenyewe Au kukosea tu. Sikuweka kua hiyo ni point kubwa.
Kuhusu kunifananisha na mwanamke alie kwenye period imenishangaza sana. Hiyo ni kitu kubwa ambayo mimi na wewe hatujui inakiwaje. Inafaa tuiheshimu. Ina mchango mkubwa wa kuwepo kwetu hapa.
Ukweli mkuu. Mamaako mzazi ambae naamini kua ni mwanamke (unless otherwise you state otherwise na sitopinga) kama asingekua anavuja damu Kila mwezi (period) Hata hiko chuo ulichosoma cape town usingekijua
Zaidi ya hayo Hakuna nilichopinga katika uliyoyasema ila hukukaa ukayajua maisha yetu hapa ipasavyo. Sikatai. Sitokataa wapo Au tupo ambao hatupo supa kimaisha hapa. Ila wapo ambao wapo vizuri sana.
Mkuu sorry kama ntakukwaza..
Hii story imetrend social media..
Naomba uniambie tu kiufupi huyo demu alifanyaje fanyaje hadi akachomwa moto?
Kuna machalii nawajua wameenda na wametusua tatizo full kula bata wamepata zari mapema ,wengine nawajua mpaka mijengo wanamiliki na walienda kimiyeyushoYaaani ukisoma vizuri post unaona jamaa yupo against na wabongo waishio huku kwasababu kabase upande mmoja tuu kwani huko bongo hawapo hao mateja na wabeba box au vinyozi?inshort ingekuwa hivyi basi wasingekuwa wanamiminika huku badala ya kurudi.kuishi kwa kupigana madongo ndy kikubwa kinatukwamisha.
Kiongozi kwanza asante sana kwa huu uzi murua. I have lived in US, Europe and other places. Mengi nimeyaona. Lakini bado naamini hizo ni changamoto ambazo zinatatulika tuu. Kikubwa kabla hujawaza kwenda nje, lazima ujue unaenda kufanya nini. Naamini mwenda bure si mkaa bure. Hata exposure utakayoipata will make a difference.
Back to the Main topic. Wewe na Lizarazu mmenipa kitu cha kufikiria sana.
I am very much interested na Trading. Sema nimekuwa muoga sana maana na hivi $$ tunavyotafuta kwa shida mtu unakua muoga kuachia.
I suggest anzisha dedicated thread tuwe tunapeana mikakati humu humu. Kila mwenye ideas tuwe tuna-share. Mkuu Lizarazu. input yako ni muhimu. Hata kama unajifunza. Kikubwa ni kupeana Moyo na mawazo. As long as no money will change hands among us! (hilo ni muhimu)
Angalizo: The first thing we should all learn is to manage expectations. Maana najua tukianza kuandika kwamba watu 'wata-download pesa" inaweza kuleta matokeo tofauti.
I really want to learn this thing. Even if it means to commit my few $$ in this I will.
Thanks sana Mkuu Ontario na Lizarazu. Much respect.
hivi ilikuwaje mpaka jamaa akagundulika kuwa ndio yeye alo ua!?Matsoea mimi nilimjulia kupitia mwanafunzi wake mmoja hivi ambae huwa nachati nae... Wanasema demu alikuwa maarufu na pia ni aina ya wale wajuaji. halafu jamaa alivyokuwa kauzu baada ya kumuua, ndugu zake walivyoanza kumtafuta na yeye akaanza kuwasaidia kumtafuta akijua hawezi kukamatwa.
I don't do trading mkuu, hii kitu niliwahi kujifunza mwanzoni mwa mwaka huu ila nikagundua kwamba mimi mwenyewe tu siwezi na pia Inahitaji muda sana kama mwaka hivi ya training ndio uanze kupiga hela...
Camera za siri mkuu.hivi ilikuwaje mpaka jamaa akagundulika kuwa ndio yeye alo ua!?
daaah!!Camera za siri mkuu.
Katudhalilisha mno Sandile. Lakini uzuri kakubali kua aliuwa na kuchoma mwili moto... hivyo anaenda mahakamani kukamilisha tu ushahidi, kisha azame nyuma ya nondo hadi kifo kimkute. So sad at his age and fame.daaah!!
kamera hizi zina umbua watu, halaf jamaa ukimuona huwez kumdhania, [HASHTAG]#Menaretrash[/HASHTAG] ndio ilikuwa ina trend huko kwa ndugu zetu kisa uzembe wa huyu dogo