Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

Jamaa alikuwa ni trader na mentor mzuri sana wa FOREX, alikuwa anajiita binary option master. Ana mkwanja hatari halafu bado chalii tu wa miaka 27 ila ndio hivyo tena kashapotea life sentence inamuhusu. Lakini hivi kweli unaanzaje kumuua na kumchoma moto huyu mtoto!?
1a54d72edf7a9de53f6376cb1df80f7f.jpg
Nafahamu sana kaka. Japo yeye alikuwa hafanyi Forex, alibase sana kwenye Real options, alikua ana bifu na demu mmoja anaitwa Buhle ambae ni founder wa Women in Forex, na jamaa alikua na kitu anaitwa Trillionaire empire.

All in all mpk mtu anafika maamuzi ya kuua basi yaliyomkuta hayaelezeki kabisa. Demu ni mzr na anaonekana ni mjanja mjanja sn, au either ni ilikuwa purukushani kama za Lulu na Steve Kanumba. Bahati mbaya demu chali, na kifo hapo hapo, ili kuficha so na image yake akaamua apige mwili kiberiti.

Do you trade by the way?!
 
Ha ha ha ha!we jamaa safari yako yote umebahatika kukutana na wabongo wasiojielewa tuu na mitaa uliyotembelea huwezi kumkuta mbongo anaefanya ishu zake muhimu akae huko.njoo siku nyingine tukutembeze viwanja vyetu tuone kama utatamani kurudi kwa bashite.
 
Mmh. Mkuu sijui hasa lengo la huu uzi. Ila wabongo wanaojielewa ni wengi tu afrika kusini. Na pia hapo water front ulipokua kuna zaidi ya wabongo kumi(ninaowajua mimi) wanamiliki maduka. Wabongo wengi tu wanaishi mjini cbd Na wana biashara tofauti.
Sijui picha inayoingia akilini kwa mtu ambae hajaingia Africa kusini unaposema langa Na hiyo uloandika "gulu" labda ulikusudia guguletu kua ni uswahilini. Sijui picha gani wanapata.
Wabongo kadhaa wanaishi na wengi wanafanya biashara na si kuishi humo kutokana na mazingira ya usalama. Cape Town ina watanzania wengi Mkuu. Na wengi wanaheshimiwa kutokana na mchango wao wa kutoa ajira kwa wazawa na watanzania na wazimbabwe.
Zaidi maisha ya afrika kusini yapo tofauti sana na Tanzania. Tanzania mwenye pesa yupo tofauti sana na asiye nazo. afrika kusini hutaona maendeleo ya mtu kwa kuangalia chakula, nguo, au sehem anyoishi. mfumo wa biashara pia ni tofauti. Muuza matunda Tanzania na afrika kusini ni watu tofauti sana. Muuza samaki Tanzania na afrika kusini ni watu tofauti sana. Kinyozi Tanzania na afrika kusini ni watu tofauti sana. Mziba pancha Tanzania na afrika kusini ni tofauti. Afrika kusini Kila kazi ina heshima na kipato stahiki.
kazi zinaheshimiwa hapa. Kila kazi. Na ukumbuke pia. Wengi ya watanzania walio hapa ni wale ambao hawakwenda sana shule. Maisha ya kwao yalikua magumu mno. Kwao hapa wamepata nafuu sana ukilinganisha na walivyokua au kama wangekua wanaishi bongo.
Ndio maana angalia watanzania walioanzisha biashara za kutuma pesa wamepata pesa sana kutokana na vijana kujitahidi kutuma pesa japo kidogo kwao. labda kwako mtoa mada waoza usione kutokana na kujaaliwa kua na pesa nyingi. Ila kwa sisi tuliotoka kwenye maisha duni tunaona tofauti.
Ndugu kuna maisha yote afrika kusini kwa watanzania. Na wanaishi sehem zote pia. tuna watanzania ambao ni milionea afrika kusini.
Mkuu cha kufanya ni ukija tena. Usipite tu mitaani na kutegemea kuona maisha halisi ya watanzania afrika kusini. Labda yatafute. Au watafute.

Kukosea kuliandika jina sidhani kama ni dhambi kubwa na haiondoi ukweli wowote juu ya uwepo wangu huko na isitoshe ni miaka mingi tokea nimekuwa huko hivyo nashangaa ' unapovuka ' hovyo kama Mwanamke aliye ' period ' au katika ' heat '. Maelezo mengi halafu ' Pumba / Upupu ' mtupu. Mbona hujazishangaa hizo ' Facts ' zingine nilizozitoa za hapo Cape Town hasa University of Cape Town nilipokuwepo 2004 mpaka 2005?
 
Wewe upo wapi mjomba?!

Na ishu mnazogonga nyie ambai mmeiotea SA ni ishu gani?!
Mie nipo port elizaberth.mie najishugulisha na biashara za vinyago katika malls.pia wapo watu wana maduka na bar pamoja ma workshop za magari.huyo mwandishi kaongelea "falls za wabongo na sio "Rise za wabongo Sa
 
Kukosea kuliandika jina sidhani kama ni dhambi kubwa na haiondoi ukweli wowote juu ya uwepo wangu huko na isitoshe ni miaka mingi tokea nimekuwa huko hivyo nashangaa ' unapovuka ' hovyo kama Mwanamke aliye ' period ' au katika ' heat '. Maelezo mengi halafu ' Pumba / Upupu ' mtupu. Mbona hujazishangaa hizo ' Facts ' zingine nilizozitoa za hapo Cape Town hasa University of Cape Town nilipokuwepo 2004 mpaka 2005?
Unaongopea jamii ndy maana una jazba kidogo tuu.sasa matusi ya nini au jamaa kaandika nini kilichokufanya ukasirike hadi utumie maneno magumu.acha kutengeneza hadithi au kuchukua hadith ulizo hadithiwa na mtu.
 
Sipo katika ' kubishana ' sana sana nazidi tu ' kuwagundua ' Watu mliobobea kwa ' Uswahili '. Yaani unapoteza muda wako kubishana na Mimi kuhusu huo Mji wa Cape Town halafu hapo hapo ulipo ' umasikini ' umekutawala hadi katika ' Kope ' zako machoni. Kwahiyo kumbe Kwako Wewe South Africa umeona ni Ulaya au ni sehemu muhimu kuliko yoyote ile duniani.
 
Nafahamu sana kaka. Japo yeye alikuwa hafanyi Forex, alibase sana kwenye Real options, alikua ana bifu na demu mmoja anaitwa Buhle ambae ni founder wa Women in Forex, na jamaa alikua na kitu anaitwa Trillionaire empire.

All in all mpk mtu anafika maamuzi ya kuua basi yaliyomkuta hayaelezeki kabisa. Demu ni mzr na anaonekana ni mjanja mjanja sn, au either ni ilikuwa purukushani kama za Lulu na Steve Kanumba. Bahati mbaya demu chali, na kifo hapo hapo, ili kuficha so na image yake akaamua apige mwili kiberiti.

Do you trade by the way?!
Matsoea mimi nilimjulia kupitia mwanafunzi wake mmoja hivi ambae huwa nachati nae... Wanasema demu alikuwa maarufu na pia ni aina ya wale wajuaji. halafu jamaa alivyokuwa kauzu baada ya kumuua, ndugu zake walivyoanza kumtafuta na yeye akaanza kuwasaidia kumtafuta akijua hawezi kukamatwa.

I don't do trading mkuu, hii kitu niliwahi kujifunza mwanzoni mwa mwaka huu ila nikagundua kwamba mimi mwenyewe tu siwezi na pia Inahitaji muda sana kama mwaka hivi ya training ndio uanze kupiga hela...
 
Mie nipo port elizaberth.mie najishugulisha na biashara za vinyago katika malls.pia wapo watu wana maduka na bar pamoja ma workshop za magari.huyo mwandishi kaongelea "falls za wabongo na sio "Rise za wabongo Sa
Mkuu PE nimefika, nina jamaa yangu ni professional rugby player wa team ya PE anaitwa Luzuko Vulindli ndie alinikatisha mitaa ya PE. Huko pamepoa sana boss.

Hawa waliochoka ndio nimekutana nao mkuu, na ndio asilimia kubwa ya waTZ wengi waliopo huko. Hao unaosema wanamiliki workshop za magari mimi sikubahatika kukutana nao. Labda uanzishe uzi utuambie kuhusu hilo tabaka.
 
Sipo katika ' kubishana ' sana sana nazidi tu ' kuwagundua ' Watu mliobobea kwa ' Uswahili '. Yaani unapoteza muda wako kubishana na Mimi kuhusu huo Mji wa Cape Town halafu hapo hapo ulipo ' umasikini ' umekutawala hadi katika ' Kope ' zako machoni. Kwahiyo kumbe Kwako Wewe South Africa umeona ni Ulaya au ni sehemu muhimu kuliko yoyote ile duniani.
Basi naona tupo watu wawili tofauti mie mipasho sio style yangu.Bongo zaidi ya South Boss[emoji106]
 
Matsoea mimi nilimjulia kupitia mwanafunzi wake mmoja hivi ambae huwa nachati nae... Wanasema demu alikuwa maarufu na pia ni aina ya wale wajuaji. halafu jamaa alivyokuwa kauzu baada ya kumuua, ndugu zake walivyoanza kumtafuta na yeye akaanza kuwasaidia kumtafuta akijua hawezi kukamatwa.

I don't do trading mkuu, hii kitu niliwahi kujifunza mwanzoni mwa mwaka huu ila nikagundua kwamba mimi mwenyewe tu siwezi na pia Inahitaji muda sana kama mwaka hivi ya training ndio uanze kupiga hela...
Sandile kwakweli katusikitisha sana jamii ya traders, sasa hivi traders wote tunaonekana ni 'psychopaths na sociopaths'. Nina uhakika Sandile alikua drug addict kwa muda mrefu.

Boss, you must learn this thing. It's a holy grail. Si ngumu sana kama unavyodhani, unahitaji dedication na right mentorship. Ukiwa makini na optimistic wala hautatumia muda mrefu sana, unaanza kujichotea USD na GBP. Sisi hua tunasema "Kudownload pesa".
 
Hayo maisha aliyosema bado hayalingani na watu wa jamii hii waishio tanzania.huku ujasiriamali tuu kaka fanya usogee cheti mwachie bashite akitumie
Ndio hivyo mkuu hali ni mbaya tanzania kwa sasa asikwambie mtu, duhh,, inabidi mtupe ramani wakuu.
 
Back
Top Bottom