Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

Ukwel huu
 
ONTARIO sasa kama mimi huko kuna jamaa yangu ye anaishi Johannesburg pia yupo shemeji yangu mke wa marehemu kaka yangu, ikitokea wameniunganishia mchongo unanishauri vipi, niende au nosoende? Maana umenishtua kwa hii stori
 
Wabongo wanakubalika sana hiyo south mzee
Asilimia kubwa wana make sana mkwanja tofauti na unavyofikiria
Wako wachache waliopoteza ramani lakini bado ni bora kuliko bongo
Teja anaitwa machafu chafu
Sasa unaweza kumuona mtu dizaini ya machafu chafu lakini sio machafu chafu
Ni mtu anaejielewa na hapo yupo kazini
Analipa kodi fresh anaishi kwenye flet nzuri tu
Unakuta mtu analipwa rand1000 kwa wiki na kila siku anapewa hela ya kula
Wingi wa starehe na labda naweza kusema ushamba ndio unawaponza wengi wanashindwa kuwa na maendeleo mazuri
 
alokwambia kama wabongo wanakubalika south ni nani
 
umemjibu huyo mkuu au mim
Tuacheni story za kwenye vijiwe vya kahawa mtu ameishi huko na mitaa anaijua vyema anaeleza hali haliai tunabisha nae kwel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…