yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Asante sana kwa kutujuza! Je kwa wasomi wa shahada ya kwanza wanaweza kupata ajira huko?
Ajira zipo ni ujanja wako tuu au upate mchongo hasa ukijiamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa kutujuza! Je kwa wasomi wa shahada ya kwanza wanaweza kupata ajira huko?
Less populated place ya dizonga ni polokwane mzeePretoria sijapiga sana misele lkn ni sehemu moja tamu sana kwa kuishi, hakuna watu wa hovyo hovyo kama Jozi, hakuna uchafu na harufu za kienyeji, pamepangiliwa vizuri na pia hapajabanana na population bado iko chini. Hilo chimbo ntalizukia weekend japo sitegemei kukutana na wabongo wengi.
Ontario..
Inamaana hukuona mbongo yeyote Mwenye life la uhakika?
Unamaanisha nini Mkuu?Kumbe akina ' Dully Sykes ' bado wapo wengi sana Tanzania?
SA na utekaji wao wote huji kusikia mwanafunzi anatekwa harafu anabaki kituoni kufunguliwa mashtaka...Dar es salam watu tunawafahamu wameuawa kwa kutoa 5 million bank mlimani hapo unazungumzia nini MkuuKatika nchi nazoogopa kutembelea ni SA, kuanzia kuwa na silaha nje nje, mateja yao kuteka magari na kukuua, kukaba raia wageni, ubaguzi wao tena wakuua...
Nafikiri kukosa hela ya nauli kwenda huko ndio usalama wangu..
Mkuu SA watu walienda hata nauli ya huko ilikua ngumu unazungumzia China wakati nauli kubwa na mengineyo wakati SA ilikua nauli tuu ukifika maisha yanaenda ila sio kwa kipindi hiki...China still kunataka mtaji watu wapo wapo tuu kama hawana mtaji wa kuzungusha bidhaa kuja Africa panasumbua...uki
ukiwa na akili huwez kwenda SA kutafuta maisha....vijana nendeni Canada/australia/germany au china
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] , nimecheka kwa sauti,Aisee kuna matajiri wengi sana wakibongo sasa yeye atajuaje wakati hana pesa??
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] , nimecheka kwa sauti,
Huyu alienda kusoma chuo, hussle za wabongo hazijui ,
Btw, Sata frika ni zaidi ya hayo majengo aliyopiga picha na kurudi.
SA na utekaji wao wote huji kusikia mwanafunzi anatekwa harafu anabaki kituoni kufunguliwa mashtaka...Dar es salam watu tunawafahamu wameuawa kwa kutoa 5 million bank mlimani hapo unazungumzia nini Mkuu
La kushangaza vijana wa Sauz nao wanaona hapo Sauz hakuna maisha wanataka kwenda Mbele hasa US. Wengi wao wapo tayari hata kuolewa ili wakaishi huko mbele. Sauz machokal wengi mnoUku mtaani kwetu vijana wengi waliozamia wamerudi..kuna wawili wamerudi wagonjwa kati ya hao mmoja amefariki...ila kuna kijana mmoja tu ndio nahisi ametusua kiduchu yeye amezaa na raia wa huko so nahisi maisha kwake ni easy kidogo..ila dah..yanini kuteseka ivyo wakati hapa Bongo hata ukiuza vitumbua au icecream(za vifuko)unatusua haulali njaa..ya nini mateso ya ivyo..khaaaa!
Mshamba huyo
Life LA kibongo ni life LA wajinga
Wabongo wengi ni zehro on flick na ndio mtaji wa wanasiasa wao hasa ccm
CHADEMA. Huoni wauza Unga Ndo mabesti sasa na Nyie chadema Kwa sitaki nataka. Sasa nini kukataa ndugu zenu