Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

We kijana, madarasa yako ya kudownload mapesa vipi siku hizi?
 
Nimeishia uliposhirikisha wizi na chama chenye heshima Tanzania(chadema) aise bro wewe ni PUNGA mpaka hapo.
 
Nimeishia uliposhirikisha wizi na chama chenye heshima Tanzania(chadema) aise bro wewe ni PUNGA mpaka hapo.
Hujamuelewa ww, amemaanisha kuiba kwa kutumia vidole viwili, kama kuchomoa mifukoni, hata hapa bongo upo sana wizi huo
 
Wabongo wengi walikua ni vibaka, wanategeshea kwenye zebra cross ambayo msongamano wa watu ni mkubwa sana. Kisha wanawazonga watu, na kuwakwapulia mali zao kwa staili ya Chadema.
Chadema ni noma! Hiyo staili yao ni balaa hata huku Bongo.
 
AHSANTE ONTARIO. KWELI NAKUSHAURI KWA MAPENZI ULIOONYESHA KWA KUTULETEA HABARI HUMU JF SAMBAZA HII HABARI KWENYE MAGAZETI YA LUGHA YA KISWAHILI MENGI IWEZEKANAVYO. UBARIKIWE SANA ONTARIO
 
Ameandika madudu tuu picha ndio za SA utajua maisha ya wageni kwa kuwaona wamebeba maboxi mtaani...Nenda Centurion,Four ways, Borgsburg,East land mall, West land,Woodmeed au Blackpan karibu na carnival City uone wabongo wanavyoishi unakutana na wahuni wa mjini tuu hao ndio unahitimisha...
 

Samahani mkuu kulingana na ma andiko yako unaonekana na wewe umewahi kuishi Afrika kusini au bado unaishi huko......

Tungependa pia kujifunza mambo ya huko kupitia kwako.....

Ingekuwa vyema kama ungeandaa diary yako ili watu watu wajue hali halisi ya huko
 
South Africa usipofanya biashara haramu basi utakuwa mwizi na usipokuwa mwizi basi utanunua vitu vya wizi ili na wewe upate cha juu,pia usipokuwa teja utakuwa muuza bangi,kama MTU unaenda nchi kama south Africa huna Elimu huna mtaji huna ujuzi unategemea nini? Kuwa na maisha mazuri?!lazima ujiingize kwenye mambo yote ya kijinga ili uweze kuishi
Message sent
 
Ulichoandika Mkuu ni kweli 100%. Mm nipo South Africa naona jinsi wabongo wanavyoishi kwa tabu.. Wachache watakuelewa.
Mkuu,huko kuna ajira kweli ? Na ni ajira gani hasa zinapatikana ?
 
Wewe inaonekana ulifanyiwa kitu mbaya
 
Lazima nikubali umetuelimisha sana, je Wabongo wataisoma hii article waelewe ukweli wa SA?!
Bravo mkuu..
 
uki
ukiwa na akili huwez kwenda SA kutafuta maisha....vijana nendeni Canada/australia/germany au china
 
Katika nchi nazoogopa kutembelea ni SA, kuanzia kuwa na silaha nje nje, mateja yao kuteka magari na kukuua, kukaba raia wageni, ubaguzi wao tena wakuua...
Nafikiri kukosa hela ya nauli kwenda huko ndio usalama wangu..
 
Umeandika vema sana but jozi ni kubwa sana mkuu kuna watu wanaishi jozi miaka zaidi ya 10 ila hawaijui yote

Kuna uswahilini hilbrow Berea kama ulishawahi fika huku kuna nuget wabongo ni wengi sana Winchester hilbrow ushuani huko jeepe town , gemistone , randburg nimeishi sana hilbrow Winchester hills
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…