Maisha hasi

Maisha hasi

Clark cian

Senior Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
154
Reaction score
146
Katika Maisha ya binadamu kupitia changamoto ni njia mojawapo itakayokuwezesha uweze kufikia malengo Yako lakini muda mwingine changamoto zinazidi uwepo wa uvumilivu .
Yani changamoto zinafanya Hadi hisia ziwe tofauti na matendo ya nje .
Yani inafikia wakati hisia zinakosa ushirikiano kabisa na mwili .
Sasa Ili kuweza kuokoa baadhi ya watu ni nini kifanyike wadau wangu
 
Mada nzuri sana mkuu. Jambo la kwanza ni kupunguza over expectations kama wewe bado ni kijana. Usione vijana wenzio wana miliki magari la kifahari kisha na wewe ukatamani ilhali kila mmoja ana karma na kipaji change.

Jambo la msingi ni kwa wewe kutafuta wapi kipo kipaji chako na lengo la wewe kuwa hapa duniani ni nini?

All in all, shida na raha zote wameumbiwa wanadamu. Zinapokujia katika maisha zipokee zote kwa mikono miwili.
 
Back
Top Bottom