monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu sio lumumba fc fuatilia nyuzi zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu sio lumumba fc fuatilia nyuzi zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema baadhiKuna Uzi uliwahi letwa humu...kuwa wanaume humu jf ndo wanaongoza kwa kuandika vapour! Binafsi naamini kwa asilimia zote!
Majority.wewe angalia kwa siku zinaanzishwa nyuzi ngap..na angalia jinsia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema baadhi
Bila sababu utakuwa umefanana na kuku🏃🏃🏃Mods wanashangaza sana thread za kijinga na kitoto Kama hii wanaziacha ajabu ukituma thread yenye mafunzo kwa Jamii wanaziondoa bila hata taarifa kwa mwenyewe inauma sana mm jioni hii wamenifutia thread yangu hii
*Hii ndo hekima ya NG'OMBE pamoja na upumbavu wa KUKU.*
*Ng'ombe, akishatoa maziwa ya kulisha familia nzima, hurejea katika malisho yake taratibu. Lakini kuku, akishataga yai moja hupiga kelele ili kila mtu ajue. Je! Yai hilo alilotaga laweza kutosha hata kwa mlo wa mtu mmoja? Jibu ni hapana.*
Katika maisha kuna watu wa aina 2 kuna wale wanaofanana na Ng'ombe na wale wanaofanana na Kuku.
*Mtu afananaye na kuku akikusaidia jambo hata kama ni dogo sana atasema kila mahali ili watu wote wajue jambo hilo. Kama ni kazini/msikitini, nyumbani etc atahakikisha anajisifu sana na kuisambaza ile habari kwa wengi. Kuna watu walisaidiwa na watu hawa wenye tabia ya kuku baadaye wakaishia kuumizwa mioyo yao baada ya kusambaa kwa habari hiyo.*
*Mtu mwenye tabia ya kuku akitoa msaada hata kwenye kituo cha watoto yatima, au akisaidia maskini anatamani aje na waandishi wa habari.*
*Kuna watu wenye tabia ya ng'ombe. Akikusaidia hata kama ni jambo kubwa sana kiasi cha kushindwa kumlipa fadhila, hawezi kukusema na hataki watu wajue. Furaha yake ni kukuona unavuka salama na unafanikiwa. Watu wa namna hii hupata thawabu kubwa. Tamani kuwa na tabia kama hii ya kusaidia bila kujitafutia utukufu.*
tulia wewe chadema imeingiaje hapa?Afu hawa ndio wafuasi wa chadema sasa unategemea nini