Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Kwa hili kama na kwenu ni ngumu kwetu ni farajaHata sisi wauza majeneza biashara imekuwa ngumu sana kwa miaka hii miwili yaani haitoki kabsa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Sasa Hivi Hata Yale Magari Ya Kuvuta Mavi Wanalia Njaa, Wanasema Biashara Ngumu.*
*Na Ukiangalia Ni Kweli Kwa Sababu Mtu Anakula Chips Kavu Na Soda; Ni Lini Choo Kitajaa?*
#.
Mzee mama ety kweli ni wewe unashindia chipsi kavu na utumbo wa kuku na juice ya kupima, ndiyo maana huendi kwa " SUPER TOILET "Hahahaaa. Hatari sana hii.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mie akaaaa.Mzee mama ety kweli ni wewe unashindia chipsi kavu na utumbo wa kuku na juice ya kupima, ndiyo maana huendi kwa " SUPER TOILET "
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji119] [emoji119][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mie akaaaa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaa. Ndio sio wote mkuu.[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji119] [emoji119]
Haya kumbe sio wote....