Maisha haya

Maisha haya

*Sasa Hivi Hata Yale Magari Ya Kuvuta Mavi Wanalia Njaa, Wanasema Biashara Ngumu.*
*Na Ukiangalia Ni Kweli Kwa Sababu Mtu Anakula Chips Kavu Na Soda; Ni Lini Choo Kitajaa?*
#.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee mama ety kweli ni wewe unashindia chipsi kavu na utumbo wa kuku na juice ya kupima, ndiyo maana huendi kwa " SUPER TOILET "

[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mie akaaaa.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom