Maisha Haya

Miaka 30 unaishi hivyo ukifika miaka 35 utaanza kuishi kwa masharti ya daktari ogopa sana kuwaza maisha ya starehe na anasa ukamsahau Mungu
 
Umeshakunywa chai tangu ulivyoamka??, au upo kwenye mfungo?
 
Sawa

Maisha yako maamuzi yako just live your life.

Kama wewe unaona maisha mazuri kwako yaishi, usitake uishi jinsi watu wanayotaka bali ishi jinsi unavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…