Maisha Haya

Maisha Haya

Umeshakunywa chai tangu ulivyoamka??, au upo kwenye mfungo?
 
Sawa

Maisha yako maamuzi yako just live your life.

Kama wewe unaona maisha mazuri kwako yaishi, usitake uishi jinsi watu wanayotaka bali ishi jinsi unavyotaka.
 
Back
Top Bottom