Maisha haya

Usivunjike moyo kwa sababu mahusiano ya kimapenzi ni burden na liability kwa mwanaume kwaiyo kipindi hiki elekeza akili kwenye kujitafuta.

Mahusiano ni liability kwa mwanaume lakini ni bora iyo liability uibebe ukiwa umeshajipata kuliko kuibeba ukiwa bado masikini.
 
Nimeshaachana na wasichana wawili pisi kweli kweli kwasababu ya pesa

YAan inafika wakat unaona mtoto wa watu kuna vitu anavikosa kwasababu ya kuwa na mimi,unaamua kumruhusu akatafute machungio mengine huko kwa wenye nazo,ingawaje huwa ni kama hawatak kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…