Maisha haya

Maisha haya

Kama huyo kwenye avatar ni wewe naomba nipe nafasi kwenye moyo wako nimalizie kukivunja kipande kilichobaki
 
Kama huyo kwenye avatar ni wewe naomba nipe nafasi kwenye moyo wako nimalizie kukivunja kipande kilichobaki
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ halafu kumbe mtoa mada ni demu, uko juu nimemtia moyo nikifikiri ni mwanaume mwenzangu
 
Elfu 5 inataka kuvunja mahusiano yangu kila siku ahadi nyingi hadi najishtukia, umasikini qmmmmk.
 
Tatizo hujibu tungekushauri ufurahi na roho yako
 
Back
Top Bottom