Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Bado haujasema, hata ndinga kali haziendeshwi na wasomi, zinakokotwa na wahuni tu wanaojuwa kumanipulate mfumo.👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma
👉Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa
Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
Mtaishia kuwaita Freemason.