Maisha hayako fair kabisa

Bado haujasema, hata ndinga kali haziendeshwi na wasomi, zinakokotwa na wahuni tu wanaojuwa kumanipulate mfumo.

Mtaishia kuwaita Freemason.
 
Life doesn't follow the blueprint of a syllabus.

Usijiwekee mentality ya kwamba ukisoma utakuwa na maisha mazuri kuliko ambaye hajasoma.

Life will hit you hard.
Mwanangu Ebu punguza ukali wa 🤣🥶maneno yako Yanachoma sana umenikumbusha siku moja Rafiki angu yeye Ana elimu ya grade ya ualimu Yani certificate tu Hana Ata diploma lakini nimekaa nae akaja jamaa mmoja hivi mwenye degree tena Kaja na baiskeli Kaja kumkopa mwenzie milion kadhaa akajiendeleze na masters degree mwenzie certificate Ana magari mawili na nyumba kibao mjini🥶kuna ukweli

Lakini waliojaliwa wanasurvive kwa bima nzuri na mikopo ya uhakika mkuu
 
Yan watu wa kawaida wanakuja kufanya vitu vikubwa ambavyo hatujavitarajia
 
But naona watumishi hawapumilii mashine kama wafanyabiashara
take home yao ni uhakika sana take home ya mfanyabiashara ni ujanja na kudra za Mwenyezi Mungu
kaka unavoenda vitani unatakiwa ubebe dhana inayoendana na adui yako, elimu ni dhana ya kupambana na ujinga sio umaskini
 
Ndio maana wanasema somea kitu ambacho una connection
 
Despline 🙅🏽 ( Mzee wangu Father Leo kaandika hivi , alinambia we need to be attentive and embrace despline.

Discipline√
Mkuu acha tuuu....
Yaani despline ni siri ya mafanikio yote..

Yaani hata kama ujaona mafanikio sasa hvi jua tuu graph yako inapanda tuu 📈 📈 📈 📈
 
Mkuu, ulichoandika kinadhihirisha maisha yapo fair kabisa.

Maisha yanawapa fursa wasomi & wasiowasomi, bt kubweteka kwa baadhi ya wasomi kunawafanya wawe na mitizamo kama hii.
 
Mkuu, ulichoandika kinadhihirisha maisha yapo fair kabisa.

Maisha yanawapa fursa wasomi & wasiowasomi, bt kubweteka kwa baadhi ya wasomi kunawafanya wawe na mitizamo kama hii.
Kuna siku moja nikamuuliza boss mmoja hivi kwanini Kila muhula mnatangaza internship akanambia wanakwepa NSSF na kodi kadhaa, kwahyo hawa ajili sana wenye Profesional wanataka mtu mwenye njaaa na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…