Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
He was kidding, 'cose he hires cream graduates from Yale, MIT, Oxford, Cambridge, Stanford, Massa', John Hopkins, prenceton, Harvard and the alike. Trust me.GPA is the worst criteria for hiring. ~Elon Musk
Nilikua natafuta comment kama hii.Vilaza katika moja na mbili
Wanachuo msimsikilize mleta mada...someni mfaulu vizuri na GPA iwe nzuri
Mkuu utajiri wa mtu, yaani, "net worth" haipimwi na magari "second hand" kama hilo. Mtindo wa maisha wa mtu binafsi ndio huamua ni aina gani ya gari analolihitaji.Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOSView attachment 2994677
Yule ni chizi anajipamba sanaSo umeamua kukopi tweet ya SirJeff Denis?
Yani umecopy na kupaste alichoandika Sirjeff kule Twitter, fanya hata ku-acknowledgeForm 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOSView attachment 2994677
Ongeza hapo Mo Dewji, Yusuph Manji, nk, bila kusahau Jack Ma ambaye ni ProfDangote, Bill gates, Mark Zuckerberg, Dr Mengi, Ali mfuruki, Waga technology, mollel electric, hawa wote ni wasomi sana, na, wana ukwasi, mkubwa,