Maisha hayana formula

Maisha hayana formula

Kupiga 1 ya 3 sio kwamba wewe ndio smart sana

Kujua sijui physics quantum physics

Nlkua nawaambia wenzangu MD's kusoma MD sio kwamba wewe ni smart kuliko watu walioko mtaani

Maisha yanahitaji akili nyingi sana za ziada nyingi mno na bahati
 
Tukishafeli tunaanza wakandia wasomi, tuishi tu maisha tuliyojichagulia, haina haja ya kukandiana..

1. Pengine ni elimu na mfumo wa bongo ndio tatizo, ulaya, america huko wasomi ni matajiri pia.
2. Gari hizi, wasomi waliokimbilia kwenye siasa wanamiliki pia, hapa tatizo ni mfumo wa bongo.
3. Kuna wasomi wachache wana vipato vya kumilki hizi ndinga hapa hapa Tz, wapo.

Yote 9, 10 ugenious wa darasani sio maisha, genious ni term pana saana, messi ni genious, Einstein ni genious, kuna watu hawajaenda darasani ni ila kusaka hela ni genious hatari.. Lakini kuna magenious hawana bahati nzuri pia.
 
Formula kwa wote hapana ila Formula kwa kila mtu sawa. Kila mtu ana Formula yake ya maisha.
 
ndomananilikataashulethat'swhysijuikusomawalakuandika.
 
Na siku ukipata ajali liambie hilo gari likutibu maana ukipelekwa hospitalini hao hao wa first class distinction ndiyo watapambana sana kuokoa maisha yako.

Na post hizi za kunanga elimu zinatolewa na watu ambao hawana exposure tu. Kwenye hizi shithole countries ambako kuwa tajiri ni lazima ukimbilie kwenye siasa ili ukaibe; au ufanye biashara haramu na kukwepa kodi, kwenye nchi za wenzetu huko elimu bado ina thamani sana maana walishavuka kwenye basic needs. M.D wa Marekani au kijana wa I.T aliyeko Silicon Valley huko mbona haya ni mambo ya kawaida tu?

Ni mitazamo hii kengeufu ndiyo inafanya kila mtu awe mwizi. Na kwa hakika labda tutaweka rekodi kwa kuwa taifa la kwanza dunini ambalo litaendelea kwa kutegemea wizi, uchawa na ufisadi bila kuweka misingi sahihi katika elimu na uchapakazi!

Leo hii role model wa kizazi kipya ni Mwijaku kisa tu eti kajenga ghorofa na anaendesha RR. Mbona asiwe neurosurgeon daktari bingwa anayefanya maoperesheni magumu ya ubongo na kuokoa watu wetu? Ni kwa sababu tu hana RR? 😳😳🚮
 
Sikubaliane na wapuuzi wachache wanaoponda elimu kwasababu ya tatizo la ajira kwasababu hakuna hata mjinga mmoja aliyegundua kitu cha maana mpaka hyo simu unayotumia ni wasomi ndio ndio wameumiza kichwa sio school drop out siku moja hudhuria vikao vya wakurugenzi hawa wa makampuni na sehemu zingine halafu uje uedit thread yko.
 
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
View attachment 2994677
Mkuu utajiri wa mtu, yaani, "net worth" haipimwi na magari "second hand" kama hilo. Mtindo wa maisha wa mtu binafsi ndio huamua ni aina gani ya gari analolihitaji.

Itakuwa ni kichekesho sana kununua gari kama hilo, ambalo ndilo linabeba sehemu kubwa ya "net worth" yako. Si ajabu ndicho kitu pekee cha thamani unachokimiliki.

Ebu nikupe mtihani mdogo tu, ebu tafuta katika mtandao bei ya sasa sokoni ya Toyota IST model ya mwaka 2023 kutoka Japan, kisha linganisha huo mtumba kutoka Dubai wenye "manufactured year" ya 2002.

Ndiyo! Pengine unatamba na hilo gari la mkopo wa kimangumashi kutoka benki, kiasi kwamba unahisi furaha kuwatambia watu na huku ukiwakandia wasomi, ebu leta hesabu zako zote za "assets & liabilities" zako ili tukupime katika mizani kama unaenea.
 
Elimu Ina faida kubwa ukilinganisha na hasara zake.

Naweza nikashindwa kumiliki hilo gari Ila naweza kumfanya mwenye hilo gari aishi vizuri.

Binafsi Elimu ina umuhimu.
 
Mbona gari ya kawaida hiyo mkuu tena toleo la zamani nilidhani sijui gari gani bhana daah...angalia mipini hii
 

Attachments

  • 20240514_115407.jpg
    20240514_115407.jpg
    1.8 MB · Views: 2
  • 20240514_115321.jpg
    20240514_115321.jpg
    2.4 MB · Views: 2
  • 20240514_115145.jpg
    20240514_115145.jpg
    1.8 MB · Views: 2
Hawa wanaobeza elimu ni kama wanajilaumu sana kwa kuikosa. Sizitaki mbichi hizi, sema sasa isiwe mpaka level za matusi. Its very sad sana kufikiri mafanikio ni kumiliki vitu expensive and sometimes overrated. Ni ushamba na ulimbukeni.
Hapa mtaani kuna dingi mmoja ana ukwasi ambao hizo gari anaweza kuwa nazo hata kumi, manake assets zake zinaonekana lakini anakwambia he's comfortable with his Landrover deffender humkuti anapiga kelele mingi. Watoto wake kawapeleka shule za UK na US saivi wana kazi huko international cooperation. lakini anaflex na Landrover pake kila mahali na anajua thamani ya elimu kuliko. Acheni ulimbukeni wa haya madude
 
Mifumo mibovu imeacha mianya vilaza wafanikiwe , ukijifanya mwehu kama mandonga unatoboa tu.
 
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
View attachment 2994677
Yani umecopy na kupaste alichoandika Sirjeff kule Twitter, fanya hata ku-acknowledge
 
Dangote, Bill gates, Mark Zuckerberg, Dr Mengi, Ali mfuruki, Waga technology, mollel electric, hawa wote ni wasomi sana, na, wana ukwasi, mkubwa,
Ongeza hapo Mo Dewji, Yusuph Manji, nk, bila kusahau Jack Ma ambaye ni Prof
 
Back
Top Bottom