Maisha hayana formula

How has one got to do with the other ?

Kwa logic yako watoto wa matajiri au wafalme wasingesoma au kujifunza lolote sababu wana pesa / mali ?

 
Ni kweli mkuu huyo mzee yupo vizuri ila kama ana hela harafu yupo na 109 Land rover huyo ni mchimba chumvi tu bhana mnafanya utani na hela au...hela inasema ishi hivi sio ulimbukeni,ulimbukeni na ushamba ni kuwa na pesa harafu unaishi kimasikini ila kwa hela za dawa sawa ishini hivyo..
 
Pamoja sana.
 
Kwani hiyo gari pesa ngapi?
 
Point of correction, bill gates na mack. Zuckerberg ni high school and college dropouts.
 
Umeongea kwa hasira hadi ukasahau msingi wa hoja za mdau.
Kama ume note anaongelea mazingira ya hapa Tanzania, ni kweli. Elimu yetu ya kukariri haiwezi kabisa kutoa matokeo chanya, ndio sababu la saba anaweza kafanikiwa kuliko college fella.
Ukianza kuongelea nchi za nje umeshatoka kwenye mada maana huko kweli elimu inazalisha wataalam.
 
He was kidding, 'cose he hires cream graduates from Yale, MIT, Oxford, Cambridge, Stanford, Massa', John Hopkins, prenceton, Harvard and the alike. Trust me.
He meant it na hukumuelewa , cream graduates wa hizo college maana yake ni kuwa haangalii tu GPA, Bali anaangalia reputation ya vvyuo husika.
 
Siyo kweli
Unasupport hoja yako kwa takwim
zipi?
 
Dah ! Ngoja nizame Gaborone mambo yatakaa sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…