Maisha hayana formula

Maisha hayana formula

How has one got to do with the other ?

Kwa logic yako watoto wa matajiri au wafalme wasingesoma au kujifunza lolote sababu wana pesa / mali ?

Hawa wanaobeza elimu ni kama wanajilaumu sana kwa kuikosa. Sizitaki mbichi hizi, sema sasa isiwe mpaka level za matusi. Its very sad sana kufikiri mafanikio ni kumiliki vitu expensive and sometimes overrated. Ni ushamba na ulimbukeni.
Hapa mtaani kuna dingi mmoja ana ukwasi ambao hizo gari anaweza kuwa nazo hata kumi, manake assets zake zinaonekana lakini anakwambia he's comfortable with his Landrover deffender humkuti anapiga kelele mingi. Watoto wake kawapeleka shule za UK na US saivi wana kazi huko international cooperation. lakini anaflex na Landrover pake kila mahali na anajua thamani ya elimu kuliko. Acheni ulimbukeni wa haya madude
Ni kweli mkuu huyo mzee yupo vizuri ila kama ana hela harafu yupo na 109 Land rover huyo ni mchimba chumvi tu bhana mnafanya utani na hela au...hela inasema ishi hivi sio ulimbukeni,ulimbukeni na ushamba ni kuwa na pesa harafu unaishi kimasikini ila kwa hela za dawa sawa ishini hivyo..
 
Pamoja sana.
 
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
View attachment 2994677
Kwani hiyo gari pesa ngapi?
 
Wale wale, akili ndogo, "kwa vile Mond aliishia LA Saba, na, ana Mali, hata watoto wangu wasiposoma, wanaweza kuwa matajiri"
MTU yoyote anaweza kumiriki hizo gari, sio jambo LA ajabu, formula yako ya maisha, IPO applicable bongo tu, ambapo fulsa za wasomi kutumia ujuzi, wao kutengeneza ukwasi, ni haba,
Dangote, Bill gates, Mark Zuckerberg, Dr Mengi, Ali mfuruki, Waga technology, mollel electric, hawa wote ni wasomi sana, na, wana ukwasi, mkubwa,
Point of correction, bill gates na mack. Zuckerberg ni high school and college dropouts.
 
Dogo umeandika Upumbavu tu unamatatizo ya kisaikolojia yaitwayo inferiority complex

hatuendi shule kutafuta utajiri wa Mali tunaenda kutafuta maarifa ili yatusaidie kuishi na kujenga jamii inayotuxinguka

Utajiri unatafutwa tu, kwa njia za ujasiliamali na haubagui mtu

We fala kama wewe unadhani bila mtu aliesomea udaktari ukiumwa itakuwaje??

Bila ya wataalamu wa mifumo ya mawasiliano utapost vipi upumbavu wako

Kwenye nchi zilizonyooka we hutoboi ni hapa tu ccm imewadekeeza mpaka mna kiburi Cha kutukana wasomi

Hivyo vijihela vyako vya majini na utapeli visikutie kiburi dogo
Heshimu wengine na ujue tunategemeana
Umeongea kwa hasira hadi ukasahau msingi wa hoja za mdau.
Kama ume note anaongelea mazingira ya hapa Tanzania, ni kweli. Elimu yetu ya kukariri haiwezi kabisa kutoa matokeo chanya, ndio sababu la saba anaweza kafanikiwa kuliko college fella.
Ukianza kuongelea nchi za nje umeshatoka kwenye mada maana huko kweli elimu inazalisha wataalam.
 
He was kidding, 'cose he hires cream graduates from Yale, MIT, Oxford, Cambridge, Stanford, Massa', John Hopkins, prenceton, Harvard and the alike. Trust me.
He meant it na hukumuelewa , cream graduates wa hizo college maana yake ni kuwa haangalii tu GPA, Bali anaangalia reputation ya vvyuo husika.
 
Umeongea kwa hasira hadi ukasahau msingi wa hoja za mdau.
Kama ume note anaongelea mazingira ya hapa Tanzania, ni kweli. Elimu yetu ya kukariri haiwezi kabisa kutoa matokeo chanya, ndio sababu la saba anaweza kafanikiwa kuliko college fella.
Ukianza kuongelea nchi za nje umeshatoka kwenye mada maana huko kweli elimu inazalisha wataalam.
Siyo kweli
Unasupport hoja yako kwa takwim
zipi?
 
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
View attachment 2994677
Dah ! Ngoja nizame Gaborone mambo yatakaa sawa tu
 
Back
Top Bottom