Maisha jijini Kigali, Rwanda yapoje?

Maisha jijini Kigali, Rwanda yapoje?

Airport wanazo 8 na hio airport kubwa wanayojenga hapo Busegera sa hivi itakamilika 2022 na itapitisha abiria mil 7,hii ya Nyerere International airport inapitisha abiria mil 6 kwa mwaka.
Rwanda ikipitisha abiria milioni7 kwa airport moja jua hizo zilizobaki kupitisha abiria elfu50 ni mtihani
 
Back
Top Bottom