Pamoja na kua nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa
labda tu niongeze kua huwezi ishi kwa show yako pekee
Sometimes I need to assess myself from other people.
lazima kuna factors toka kwa wengine zinaazo ingia hapa:
kwanza nahitaji mafanikio yangu yawanufaishe niwapendao
Nashindwa ku-enjoy mafaanikio yangu kamani yangu tuu
Lazima mtu/watu wa karibu yangu pia waweze kufurahia
Haya ni kwangu. Naamini sote tunahitaji external impact.
Pili nahitaji recognition ya mafanikio yako toka kwa watu
kuna watu fulani ambao lazma nahitaji pongezi toka kwao
Sio kwamba bila hilo pongezi sikubali mafanikio yangu, no
but ni ile tu,nahisi ni watu wanao jua lengo na ndoto zangu
Mfano mdogo tu: Kuna mtu anandoto ya kua mwana siasa
anaanza kutekeleza action plan yake na anafikia hatua
anahisi ndio amefanikiwa sasa, anaanza kujisifia kua kafika
ila watu wote wakiangalia, hakuna mafanikio yoyote hapo.
huyu nae utasema asijali aendelee kuamini kua kafanikiwa?
King'asti, mtu huyu kafanikiwa kweli? au anajidanganya?