thanks
The Boss kwa hii makitu umedrop kha! unamkuta mtu alifundishwa na wazazi kuwa ukiolewa NO divorce, ukiachika tu ni laana na mikosi na maisha yatavurugika! mtu anavumiliaaa weeee anapigwa, ananyanyaswa kwa namna moja au nyingine , yaani its full inhuman acts in her/his life but yupo tu just bcoz of the word CURSE! but nimeona wengi walijitoa kwenye mikono hiyo dhalimu na kuja kuwa mifano kwa x's wao popote wawaonapo.
ndivyo tunavyotakiwa kuifanyia hii nchi, ni muda sasa tuseme basi na CCM, itupe talaka yetu na tutafute MUME/CHAMA kingine kitakachotukomboa. hii dhana ya kikija chama kikingine kutatokea matatizo ife, AND LET IT BEGGIN WITH US! life is not how it is from stories and other pipos aspects, but it is how u take it with your DOTS.........! in short MAISHA YAMEJAA KUCHAGUA NA MUDA ALWAYS HAUTUSUBIRI!!