Maisha Kitendawili: Ole Sabaya Kapauka utadhani katoka Jela jana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hivi vyeo vya kuteuliwa vinalemaza sana, huyu jamaa huwezi kuamini kama ndio yule aliyekuwa anavamia mahoteli ya watu na bunduki akiwa na magari yenye namba feki za UN huku akilindwa na polisi wa Tanzania.

Raia aliyekuwa anavaa sare za polisi akienda kutenda uhalifu huku akijifanya ofisa wa Usalama wa Taifa.

Hebu muangalie sasa akichukua fomu za kugombea ubunge kwa chama chakavu cha ccm, Kapauka ni balaa



Nakala imfikie OCD Mpina Popote alipo
 
Lile shingo la zamani za jiwe lipo wapi?
 
Mbowe alisema atamshughulukia nje ya magereza, hajamshughulikia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…