Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Umeandika ujinga, kwa vile chadema hamchukui fomu mwaka huu ndo unaona Sabaya kapauka? Onesha picha yako tulinganishe na Sabaya tuone nani kapauka.Hivi vyeo vya kuteuliwa vinalemaza sana, huyu jamaa huwezi kuamini kama ndio yule aliyekuwa anavamia mahoteli ya watu na bunduki akiwa na magari yenye namba feki za UN huku akilindwa na polisi wa Tanzania.
Raia aliyekuwa anavaa sare za polisi akienda kutenda uhalifu huku akijifanya ofisa wa Usalama wa Taifa.
Hebu muangalie sasa akichukua fomu za kugombea ubunge kwa chama chakavu cha ccm, Kapauka ni balaa
View attachment 3390742
Nakala imfikie OCD Mpina Popote alipo