Maisha Kitendawili: Ole Sabaya Kapauka utadhani katoka Jela jana

Umeandika ujinga, kwa vile chadema hamchukui fomu mwaka huu ndo unaona Sabaya kapauka? Onesha picha yako tulinganishe na Sabaya tuone nani kapauka.
 
Kachakaa sana kama Chadema ilivyochakaa
 
Ila katika watu wenye roho mbaya huyu kijana anaongoza
 
Umeandika ujinga, kwa vile chadema hamchukui fomu mwaka huu ndo unaona Sabaya kapauka? Onesha picha yako tulinganishe na Sabaya tuone nani kapauka.
Picha uletewe hapo Ghetto kwa ibirisi Sabaya unaposhinda ukivuta bangi na kupanga mipango haramu ya kishetani kwa chadema
 
Huyu dogo alipokuwa na mamlaka ya u - DC alikuwa jeuri bwana, acha kabisa..

Alikuwa na anavuna ambapo hakupanda kabisa..

Alikuwa anaweza kumfira na kumlawiti yeyote huko Arusha na Hai - Kilimanjaro...

Hapa anajisumbua bure tu. Yeye na Makonda KAMWE hawawezi kuwa viongozi - wabunge wa kuchaguliwa hawa, nipo hapa tutakuja kukumbushana...

Hawa ni wa kutumwa/kuteuliwa na bwana zao kwa kazi maalumu. Hawana sifa ya kuchaguliwa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…